Ukoo wa Stiven Kanumba

Mangungu

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
2,391
3,015
Ukoo wa Stiven Charles Kanumba unazid kupotea baada ya Baba yake mkubwa na Marehemu Stiven, Mzee Alan Kanumba kufariki dunia usiku wa kuamukia jana huko Shinyanga Mjini!
 
RIP mzee Alan

lakini hapa si mahala pake. imuvuzishe ktk jukwaa husika
 
Sote tu wasafiri tunapita kwenda ule mji utufaao haya sio makazi yetu, ametangulia sio tuko nyuma yake
 
kunauwezekano wamempiga ndumba si unajua alikataza mali za kanumba asichukue mtu yeyote. Mungu amuweke mahali pema peponi.
 
Ukoo wa Stiven Charles Kanumba unazid kupotea baada ya Baba yake mkubwa na Marehemu Stiven, Mzee Alan Kanumba kufariki dunia usiku wa kuamukia jana huko Shinyanga Mjini!

Baba yake Eunice wa passion FM?anaishi majengo au?poleni wafiwa
 
Back
Top Bottom