UKOO WA KIVURUGA UMEPEWA BARABARA TABORA
Katika moja ya koo maarufu Tabora ni ukoo wa Kivuruga.
Ndugu wawili Maulidi na Abdallah Kivuruga ni watu waliokuwa mashuhuri Tabora mjini katika siasa na harakati za kupeleka mbele Uislam.
Wananchi wa Tabora katika mradi wa Anuani na Makazi wametumia fursa hii kwa kuenzi ukoo wa Kivuruga kwa yale waliyofanya katika kuunda African Association na TANU kupigania uhuru wa Tanganyika.
PICHA: Kulia ni Abdallah Kivuruga na kushoto ni Maulidi Kivuruga.
View attachment 2391159View attachment 2391254