tumia bas akili..hapo huoni vifaa vya biashara za watu.?walikurupushwa siku ya kwanza..wakakurupushwa jana tena kwa vipigo wakaacha biashara zao na kukimbia..halafua unatarajia asubuhi uwakute wanafagia wafungue biashara tena?
wanaweza kuja leo tena wakawapiga .lazima wajue mustakabali wao
Ww ni zero brain
Huku ndio kufunga barabara? Unatuabisha wa Dar !!
Washenzi tu dadangukwa mara ya kwanza nilitongozwa na askari police mwaka jana !na nisivyowapenda na kuwaogopa !nilimwambia aliishia kushangaa !mie nawahisg muda wote angi tu na wajeshi !arghhh
Sasa Huku ndio kufunga barabara? Unatuabisha wa Dar mkuu!!
Kizazi cha viduku, hawa ndo wataendesha uchumi wa nchi badae !!! Kweli ??
Wee pia ni police au? Ila jidanganye tu uhamishiwe huku kwetu halafu utuletee uboya kama huo mmmh utahama bila hata kuhamishwa waulize wenzio walokuja huku.Acha kudanyanga watu, Polisi pigen kz.. Mtawafanya nini!
Hu hu hu huu!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] wangejuta..***** zaoNyie wanaume wa dar punguzeni uzoba hivi mimi niwe kwenye kikaango cha chips mafuta yampata moto wa kutosha kunakikalagosi wakunikimbiza hapo kweli?....yaani badala ya kunikimbiza mimi wangemkimbiza kikaragosi mwenzao mortuary kwa jinsi ambavyo angeiva kwa mafuta