Ukonga Mombasa raia wafunga barabara hapa kituo cha Polisi

Ukonga Mombasa raia wafunga barabara hapa kituo cha Polisi

Hakuna lolote, ukifunga barabara ni kwamba unapigwa uondoke kwakua unazuia watu kutumia barabara na unahatarisha usalama wa watu wengine na kuleta usumbufu usio wa lazima, kwanza utaambiwa umekusanyika bila kibali na unaweza kuharibu mali za umma na watu binafsi.

Inshort watatawanyika tu. Alafu bora ingekua mkoa mwingine sio Dsm, hakuna mtu ana jeuri ya kufanya fujo Dsm hasa kwa kujenga umoja.
 
Dah wamenifanya mpk nisiende kupiga mambo yangu ya supu aisee,sema raia wameamua hapo si karibu na kituo cha polisi kabisa baada ya hiyo frem ya tigo pesa !!
 
Wanaume wa Dar mnachekesha sana mnakubali kupigwa bila makosa kisa askari kauawa na wasiojulikana
 
Hakuna lolote, ukifunga barabara ni kwamba unapigwa uondoke kwakua unazuia watu kutumia barabara na unahatarisha usalama wa watu wengine na kuleta usumbufu usio wa lazima, kwanza utaambiwa umekusanyika bila kibali na unaweza kuharibu mali za umma na watu binafsi.

Inshort watatawanyika tu. Alafu bora ingekua mkoa mwingine sio Dsm, hakuna mtu ana jeuri ya kufanya fujo Dsm hasa kwa kujenga umoja.
Ni kweli ila ni bora kuliko kujifungia ndani na kuanza kulalamika tu humu jf wakati una uwezo wa ku express kitu kwa vitendo
 
Sasa hapo wamefunga barabara au wamechafua barabara?
tumia bas akili..hapo huoni vifaa vya biashara za watu.?walikurupushwa siku ya kwanza..wakakurupushwa jana tena kwa vipigo wakaacha biashara zao na kukimbia..halafua unatarajia asubuhi uwakute wanafagia wafungue biashara tena?
wanaweza kuja leo tena wakawapiga .lazima wajue mustakabali wao
 
Lakini Kwa nini IGP anachelewa kuchukua hatua kwenye hili ingali kila siku anahimiza wananchi watoe ushirikiano kwa Polisi????? What about Polisi kutoa ushirikiano kwa raia???? Halafu anafanya haya akifahamu fika kwamba zaidi ya nusu ya askari polisi wanaishi uraiani haoni italeta shida? Sababu naamini hao walio leta fujo ni vijana ambao wapo kambini bado hawajui maisha yalivyo wanawaponza askari wengine tunaoishi nao mtaani
Acha kudanyanga watu, Polisi pigen kz.. Mtawafanya nini!
 
No wonder polisi wanachukuliwa form four failure. Hivi hawa polisi si ndiyo huwa wanajisifu kiwa wana intelijensia kali.? Wameshindwa nini kupeleleza muuaji wa polisi mwenzao.?
 
No wonder polisi wanachukuliwa form four failure. Hivi hawa polisi si ndiyo huwa wanajisifu kiwa wana intelijensia kali.? Wameshindwa nini kupeleleza muuaji wa polisi mwenzao.?
Ww ni zero brain
 
Back
Top Bottom