Ukonga Mombasa raia wafunga barabara hapa kituo cha Polisi

Ukonga Mombasa raia wafunga barabara hapa kituo cha Polisi

Gluk

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
1,859
Reaction score
3,023
Aisé raia wameamua kufunga barabara hapa Maeneo ya mazizini kupinga wanachofanyiwa na FFU ukonga
50ddc696b20c50e39b0b43a9f057f918.jpg
 
Safi sana!!
Huu upuuzi walioufanya wakujichukulia hatua mikononi utawaongezea uadui kwa wananchi...
 
Lakini Kwa nini IGP anachelewa kuchukua hatua kwenye hili ingali kila siku anahimiza wananchi watoe ushirikiano kwa Polisi????? What about Polisi kutoa ushirikiano kwa raia???? Halafu anafanya haya akifahamu fika kwamba zaidi ya nusu ya askari polisi wanaishi uraiani haoni italeta shida? Sababu naamini hao walio leta fujo ni vijana ambao wapo kambini bado hawajui maisha yalivyo wanawaponza askari wengine tunaoishi nao mtaani
 
Back
Top Bottom