Ni katika kurekebishana tu ndugu yangu don't take it personally
Nimekuelewa mkuu,hakuna tatizo kabisaKurekebisha nn!!? watu wanarekebisha kauli na sio aina ya uandishi...all in all inaonekana hauko makini maana alieandka iyo aina ya uandish wa Xaxa na cjui ni mtu mwngne uko juu uliemquote...
Sikuhizi hao mademu wa nanjilinji ndio wakuwadanganya na visuprise kama hivyo.Aaah wapi! Labda mahaus geli mnaotoa usukumani
Afande umetoa ushauri murua.Wanaume wa dar hovyo sana,yani askari 10 wanafunga mtaa wenye watu 1000 kweli!,tena usiku?
Hivi huko dar hakuna wananchi wenye hasira kali?
....Usikute wewe unaishi vikindu unawashauri wenzako ivo!, Asee Mungu anakuona.Kama kupigana nao hamuwezi atleast warushieni mawe tu sasa mnakubali kupigwa bure bure tu
Kamanda pointi yako naipa uzito wa juu kabisa. .heavyweight.Wanaume wa Dar wanajua kula chipsi tu kupambana hawawezi
Sasa utamlinda vipi mkeo kama mwanaume unakuwa legelege
Jifunzeni sanaa za mapambano karate ngumi judo
Wanaume wa Dar bana kama mademu tu
kwetu kiswahili kililetwa na pundaDuh. Ishakuwa SIRAHA sio SILAHA. Na umri ulionao bado kiswahili kinakupa shida ...ukapimwe mkojo wewe sio bure.
Acheni ungese sasa hata watoke hao askari wote ni sawa na idadi yenu vijana wote hapo kitaa? halafu hakuna kiongozi atayewaruhusu waje kuwapiga raiaMm ni Mkazi wa Ukonga, Kinachoendelea ni zaidi ya uonevu maana toka jana wanatupiga tu raia. Na nimesikia wamepanga kutupiga wiki nzima pia
Huo ndiyo ukweli mkuu mijitu mingine sijui ikoje aisee[emoji23] [emoji23]sio xana ni sana...xana ni maandishi ya mahanithi
Tanzania haijawahi kuwa na vita.Mpaka umeme wametukatia huku.nasikia wanataka kuingia nyumba hadi nyumba .kweli tuna kazi wiki hii sisi wakazi wa mombasa/gongolamboto itabidi tupambane tu na hali yetu maana Sirro ametukataa
Huyo atakuwa demu ndo miandiko yao siku hizi utafikiri simu haina button ya sMkuu usibishane na hawa watoto wa Facebook na Instagram... wamepotea humu
Mkuu nadhani Mura ni wengi Mitaa ya kitunda "kunako patikana mayai kwa wingi" kuliko hapo ukonga MombasaMaeneo ya ukonga kina Mura ni wengi sana. Inakuwaje wanashindwa kupambana?