Ukomo wa umri nafasi za JKT

Ukomo wa umri nafasi za JKT

Mteule halisi

Senior Member
Joined
Oct 21, 2014
Posts
197
Reaction score
98
Habari zenu! Napenda kuchukua fursa hii kuuliza kwa yeyote mwenye kujua kikomo cha umri kwenye kupata ajira pindi ajira zinapotokea ukiwa jkt. Ahsante
 
Komaa kuingia, ukingia kinachobaki ni kupiganisha...katika application za kawaida wanataka 23 ili uingie ukiwa na hivyo jua huko mbele umri sio shida, shida itakuwa ujanja wako na nyota yako tu....
 
Shukran!
 
Habari zenu! Napenda kuchukua fursa hii kuuliza kwa yeyote mwenye kujua kikomo cha umri kwenye kupata ajira pindi ajira zinapotokea ukiwa jkt. Ahsante

Umri mwisho miaka 23 ila kuna kaujanja fulan ivi unaweza fanya nenda rita kafoji cheti ukishapata tu jkt cmple kuingia kinyume na hapo itakuwa ngumu
 
Niliuliza umri wa kupata ajira pindi zikitokea utakapokua umeshaingia
 
Naomba nieleweke, sijauliza umri wa kujiunga! Bali umri unaoitajika na vyombo vya usalama vinavyokuja kuajili askari pindi mtu anapokua ameshajiunga na jkt na akiwa anasubili ajira kutoka kwenye vyombo hivyo.
 
Niliuliza umri wa kupata ajira pindi zikitokea utakapokua umeshaingia

Yan mkuu ukishaingia kule cdhan kama kuna shida tena mfan jw wakitaka watu au uhamiaji wanataka watu na nk. Kikubwa kupata chance ya kuingia ndo mtian ulipo so ukishaingia kule mambo yote yatakuwa pow
 
umri miaka 23 kwa form 4 na six na miaka 30 kwa degree

Mkuu ni kweli ukisemacho lkn kivitendo inakuwa kinyume chake. Ukienda wanakwambia umri miaka 23 yaani awanyambui i mean iwe digrii au form 4 iyo ya miaka 30 cdhani mana mbna watu wengi wa digrii wanatumia kufoji ya miaka 23 inamana serikal awajui au embu nisaidie hapo mkuu
 
Iko hivi kujiunga ni miaka18,-23 utapiga kozi ya mafunzo ya miezi sita kisha utakatwa bogi ,utaplekwa vikosi vya malezi na mda hyo utapewa jina la service man au kinyume chake . Hapo utafanya kazi za watu huku ukisubiri usaili kutoka vyombo mbali mbali vya usalama na endapo utachaguliwa bhasi itakuwa umeramba dime,ikumbukwe kila chombo cha usalama husaili watu kutokana na vigezo wavitakavyo WAo mfano elimu yako ,mwaka WA kuhitimu,utimamu WA mwili wako ,idadi ya watu wanaohitajika na u seniority yani huku yuko kwa operation tofauti,sensa,2012 ,miaka 50 ya jkt 2013 na miaka 50 ya muungano2014, hivyo ni ngumu sana op ya 2014 kuajiriwa before walokutangulia kuajiriwa ,hapo inatokea .na ukumbuke ujapo huku kuna kupata AmA kukosa.Leo trh19 vijana kutoka vikosi mbali mbali wamechaguliwa kwenda kozi ya jw oljoro hapa kwetu wako 120,ila op sensa nao wamemalizikia Leo na waliingia 2012 nadhani hapo umepata mwanga ni mida gani waliokaa jkt na hakuna haya askar 1 aliyerudi nyumbani WA op sensa wote6000 wameajiriwa .nimechoka kuandika ukitaka kujua mengi nataka waweza nicheki 0752215730 .karibu 821 KJ kikosi senior Tz nzima
 
Umesomeka kamanda
 
Ni kweli Usalama Wa Taifa huchukua wenye Umri mkubwa zaidi?
 
Wenye elimu ya chuo kikuu omba Makao makuu ya jkt maana wilayani nafasi zinazokuja ni kwa ajili ya form 4 na 6 ndio maana tangazo halioneshi wenye digrii, automatically mwenye digrii umri utazidi
 
Hakuna uwiano wa umri mkubwa na kuwa usalama wa taifa, IQ yako na uwezo wa kutambua mambo kwa haraka unaweza kuipata kazi, mfano wanaweza kuja wakasema tunahitaji walinzi wa kwenda kulinda minara, sifa awe form 4 au 6 mwenye division 1-3 kwa akili ya kawaida mtu mwenye matokeo mazuri ya shule anawaza bakabaka ghafla akalinde minara, hutotaka sasa watakao tambua kuwa ni kazi ya usalama watafanya usaili, wakiondoka ndio zinabaki stori kuwa jamaa walikuja kuchukua watu wa tiss
 
umesomeka mkuu.
 
Back
Top Bottom