Ukomo wa Rais na Mawaziri kama ilivyoainishwa kwenye Katiba ya Tanzania

Tataendelea kumsihi kwa njia ya amani
ambayo ni tunu ya taifa letu ili aondoke.
afu nadhani ni vyema ukatuwekea ibara nzima
ili tuone kama hakuna kipengere kinachosema
akigoma tufanye nini.
kwenye diplomasia kuna eneo la dplomasia ya ubembelezi i guess utasikia wakina desmond tutu wanapiga kambi hapa kumbembeleza astep down akiringa ndio vile tena
 
Sasa wewe tu kama umekosea kuandika ID yako unatoa wapi nguvu ya kukosoa neno? Issac77 ndio nini? Upumbavu mtupu hilo jina ni la kitanzania? Wapi?
sikukosea mkuu, hivyo ndivyo nilivyohitaji iwe. Hzi tarakimu zisikuumuzi ila ni ushauri tu unapoleta michango yako hapa jaribu kuzingatia mwandiko maana mwandiko ndio unaomtambulisha yeye ni nani yuko vipi akili yake ya namna gani. Siyo kurupuka tu ukiambiwa ukweli unapanic.
 
Kama ambavyo nimekuwa nikikosoa kuwa tuna katiba mbovu sana nchi hii.

Pamoja na kuwa na vipengele vizuri lakini katiba yetu ni mbovu sana.

Kwenye katiba yetu kuna kipengele kinasema Uchaguzi utafanyika kila baada ya miaka mitano.

Lakini kibaya zaidi ni kuwa kuna kipengele kina sema Rais aliyepo madarakani ataondoka Ikulu Mara baada ya Rais mwingine kuchaguliwa na kuapishwa.

Hiki ndio kipengele ninachokiona kina mapungufu na kinaweza kutumika vibaya kwani Rais anaweza kuleta sababu siku moja za kusitisha uchaguzi na kufungu hiki cha katiba kikamlinda.

Kama alivyofanya Rais wa Congo kwenye katiba yao kuna kipengele pia kama hicho kuwa Rais ataondoka Ikulu Mara tu baada ya kupatikana Rais mwingine na kuapishwa.

Nauliza tu je ikitokea Rais kaamua kungangania madarakani kwa kutumia kipengele hicho cha katiba tutamfanya nini?.
Andiko hili nalifananisha na wale jamaa wanaozusha ubishi wa kidini halafu wanakariri baadhi ya vifungu kwenye vitabu vya dini ili kutetea dini yao au kubeza dini ya wengine. Halafu wenye dini inayotetewa au kusifiwa hukenua meno wakifarijika kuona dini yao ndiyo bora.

Tusalimiane lakini
 
Kama ambavyo nimekuwa nikikosoa kuwa tuna katiba mbovu sana nchi hii.

Pamoja na kuwa na vipengele vizuri lakini katiba yetu ni mbovu sana.

Kwenye katiba yetu kuna kipengele kinasema Uchaguzi utafanyika kila baada ya miaka mitano.

Lakini kibaya zaidi ni kuwa kuna kipengele kina sema Rais aliyepo madarakani ataondoka Ikulu Mara baada ya Rais mwingine kuchaguliwa na kuapishwa.

Hiki ndio kipengele ninachokiona kina mapungufu na kinaweza kutumika vibaya kwani Rais anaweza kuleta sababu siku moja za kusitisha uchaguzi na kufungu hiki cha katiba kikamlinda.

Kama alivyofanya Rais wa Congo kwenye katiba yao kuna kipengele pia kama hicho kuwa Rais ataondoka Ikulu Mara tu baada ya kupatikana Rais mwingine na kuapishwa.

Nauliza tu je ikitokea Rais kaamua kungangania madarakani kwa kutumia kipengele hicho cha katiba tutamfanya nini?.
Ni kweli mkuu ukikiingalia kwa upande mmoja utakiona tatzo hilo, lkn pia nadhani waliokiweka wakitaka kuondoa uwezekano wa kuacha ombwe la uongozi katika kipindi hicho cha uchaguzi, ambacho kwenye Inchi changa kidemocrasia kama yetu no swala ambalo no hatari sana!
May be kuna haja ya watu kuumizwa vichwa on the best approach, vinginevyo mnaweza mkakurupuka mkajikuta mmeharibu zaidi!
 
Kama ambavyo nimekuwa nikikosoa kuwa tuna katiba mbovu sana nchi hii.

Pamoja na kuwa na vipengele vizuri lakini katiba yetu ni mbovu sana.

Kwenye katiba yetu kuna kipengele kinasema Uchaguzi utafanyika kila baada ya miaka mitano.

Lakini kibaya zaidi ni kuwa kuna kipengele kina sema Rais aliyepo madarakani ataondoka Ikulu Mara baada ya Rais mwingine kuchaguliwa na kuapishwa.

Hiki ndio kipengele ninachokiona kina mapungufu na kinaweza kutumika vibaya kwani Rais anaweza kuleta sababu siku moja za kusitisha uchaguzi na kufungu hiki cha katiba kikamlinda.

Kama alivyofanya Rais wa Congo kwenye katiba yao kuna kipengele pia kama hicho kuwa Rais ataondoka Ikulu Mara tu baada ya kupatikana Rais mwingine na kuapishwa.

Nauliza tu je ikitokea Rais kaamua kungangania madarakani kwa kutumia kipengele hicho cha katiba tutamfanya nini?.
Mbna ilishatokea Zanzibar mkuu
 
"kungangania" ni kung'ang'ania? Unatoka Kanda ya Ziwa?

Sema kabisa kuwa anatoka Kagera, wngine sisi ni Wasukuma na hatuna matamshi ya namna hiyo. Kanda ya Ziwa ni Wakazi wa Kagera pekee ndio wanaoshindwa kutamka ng'a badala yake wanatamka nga.
 
sikukosea mkuu, hivyo ndivyo nilivyohitaji iwe. Hzi tarakimu zisikuumuzi ila ni ushauri tu unapoleta michango yako hapa jaribu kuzingatia mwandiko maana mwandiko ndio unaomtambulisha yeye ni nani yuko vipi akili yake ya namna gani. Siyo kurupuka tu ukiambiwa ukweli unapanic.
Haaaah kuna jina la Kitanzania ninaandikwa hivyo?....

Hata kwenye Qur'an, na Biblia lipo?

Kama tu ulishindwa kuchagua jina la maana kujiunga jamii forum unawezaje kuja hapa na kukosoa makosa ya neno moja ......

Mimi nikoangalia tu I'd yako naona kabisa nabishana na mtu wa hovyohovyo.

Toa boriti kwenye jicho lako kwanza...
 
Ha lizaboni hata hicho kifungu unakipigia kelele?du ama kweli f we za inapumbaza ufahamu wa mtu
 
Uwe unaleta taarifa zilizokamilika. Weka kifungu husika na ikiwezekana tafsiri yake kisheria.
Una haraka ya kwenda wapi?
Hii karne ya kufikiri haiwezi kuaccomodate watu wa kutoa vitu vya juujuu badilika mkuu.

Ushauri
Soma katiba, tafuta vifungu yawezekana Kuna vingine vinaitafsiri zaidi hiyo sentesi na mipaka yake. Toa mifano ya katiba za huko kwa vifungu Kisha tulia leta thread. Siasa zisiturudishe kwenye ujima mkuu.
Ibara ya 42 ibara ndogo ya 3 inahusika na mada hii
 
Wewe ndiye unatakiwa kusoma katiba mkuu Mimi nimesoma nikaleta sio lazima kila kitu uletewe hapa katafute katiba umesahau kilichotokea Zanzibar juzi tu?
Mkuu inatosha, msifike mbali na sisi wengine huwa tunajifunza kwa mada mnazochangia humu jf, naweka vifungu Ibara ya 42 ibara ndogo ya 3
 
Kama ambavyo nimekuwa nikikosoa kuwa tuna katiba mbovu sana nchi hii.

Pamoja na kuwa na vipengele vizuri lakini katiba yetu ni mbovu sana.

Kwenye katiba yetu kuna kipengele kinasema Uchaguzi utafanyika kila baada ya miaka mitano.

Lakini kibaya zaidi ni kuwa kuna kipengele kina sema Rais aliyepo madarakani ataondoka Ikulu Mara baada ya Rais mwingine kuchaguliwa na kuapishwa.

Hiki ndio kipengele ninachokiona kina mapungufu na kinaweza kutumika vibaya kwani Rais anaweza kuleta sababu siku moja za kusitisha uchaguzi na kufungu hiki cha katiba kikamlinda.

Kama alivyofanya Rais wa Congo kwenye katiba yao kuna kipengele pia kama hicho kuwa Rais ataondoka Ikulu Mara tu baada ya kupatikana Rais mwingine na kuapishwa.

Nauliza tu je ikitokea Rais kaamua kung'ang'ania madarakani kwa kutumia kipengele hicho cha katiba tutamfanya nini?.
Ungekuwa umeukata mzizi wa fitna kama ungeainiisha hicho kipengere kinapatikana wapi ndani ya katiba unayo itaja vinginevyo wewe nawe ni mzushi tu.
 
Ibara ya 42.

Ibara ndogo ya (1),
Rais mteule atashika madaraka ya Rais mapema iwezekanavyo baada ya kutangazwa kwamba amechaguliwa kuwa Rais, lakini kwa hali yoyote itabidi ashike madaraka kabla ya kupita siku saba.

Ibara ndogo ya (3),
Mtu aliyechaguliwa kuwa Rais atashika kiti cha Rais hadi-
(a) siku ambapo mtu atakayemfuatia katika kushika kiti hicho atakula kiapo cha Rais; au
(b) siku ambapo atafariki dunia akiwa katika madaraka; au
(c) siku atakapojiuzulu; au
(d) atakapoacha kushika kiti cha Rais kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii.

Ibara ndogo ya (4),
Iwapo Jamhuri ya Muungano inapigana vita dhidi ya adui na Rais anaona kuwa haiwezekani kufanya uchaguzi, Bunge laweza mara kwa mara kupitisha azimio la kuongeza muda wa miaka mitano uliotajwa katika ibara ndogo ya (2) ya ibara hii isipokuwa kwamba muda wowote utakaoongezwa kila mara hautazidi miezi sita.

Katiba ya Tanzania - Android Apps on Google Play
 
Kama ambavyo nimekuwa nikikosoa kuwa tuna katiba mbovu sana nchi hii.

Pamoja na kuwa na vipengele vizuri lakini katiba yetu ni mbovu sana.

Kwenye katiba yetu kuna kipengele kinasema Uchaguzi utafanyika kila baada ya miaka mitano.

Lakini kibaya zaidi ni kuwa kuna kipengele kina sema Rais aliyepo madarakani ataondoka Ikulu Mara baada ya Rais mwingine kuchaguliwa na kuapishwa.

Hiki ndio kipengele ninachokiona kina mapungufu na kinaweza kutumika vibaya kwani Rais anaweza kuleta sababu siku moja za kusitisha uchaguzi na kufungu hiki cha katiba kikamlinda.

Kama alivyofanya Rais wa Congo kwenye katiba yao kuna kipengele pia kama hicho kuwa Rais ataondoka Ikulu Mara tu baada ya kupatikana Rais mwingine na kuapishwa.

Nauliza tu je ikitokea Rais kaamua kungangania madarakani kwa kutumia kipengele hicho cha katiba tutamfanya nini?.

Ndugu yangu wewe ndio huelewi

katiba haisomwi kwa kuangalia kifungu kimoja na ukakitafsiri hicho bali tazama jambo alafu uangalie kwa ujumla wake limeelezwa vipi kuanzia mwanzo mpaka mwisho.

hoja yako yako ni sehemu ndogo inayozungumzia raisi wa jamhuri ya muungano. katika hiyo wameeleza mambo mengi ikiwepo na hilo.

wameweka utaratibu wa kupata raisi ambapo ni kupiga kura na aliyechaguliwa anaongoza kwa kipindi cha miaka mitano. baada ya miaka mitano unafanyika uchaguzi mwingine ili kumpata kiongozi mwingine. hapa nilazima waweke ukomo wa yule aliyekuwepo na mwanzo wa aliyechaguliwa.

ni sahihi kabisa kusema raisi atamaliza mda wake pale tu atakapopatikana raisi mwingine. lengo hapa ni kuondoa uwezekano wa nchi kukaa bila raisi iwapo utasema baada ya miaka mitano aliyekuwepo anaondoka alafu ukiahirisha eti nchi inakaa bila raisi? hilo haliwezekani.

lakini sibusara kumchukua mtu eti achukue madaraka sasa sijui kwa kuchaguliwa na wananchi au anapewa tu. hilo halikubaliki.

hapo si swala la kuangalia tena kifungu hicho bali kuangalia kama katiba inaruhusu kuahilisha uchaguzi. kama uchaguzi unahairishwa kwa sababu za kikatiba, yaani waliona kukitokea tatizo hili au lile uchaguzi uhairishwe sasa kuna tatizo gani?

Tatizo linaloweza kuwa kubwa kwa nchi yetu ni kutotenganishwa kwa mihimili mitatu ya uongozi kwa maana kama uchaguzi unahairishwa kwa sababu zisizo za msingi inatakiwa wasikubali waende mahakamani kupinga kuhairishwa lakini mahakama inapokuwa sehemu ndani ya serikali usitegemee kupata fare decision. lakini kama uchaguzi unahairishwa kwa sababu za msingi basi nadhani ni busara raisi aliyekuwepo kuendeleza mpaka hapo raisi mwingine atakapochaguliwa hiyo imekaa kidemokrasia na kimaslahi ya wananchi zaidi kuliko kutafuta mtu asiyechaguliwa na wananchi na kuchukua nchi kwa mda mfupi viongozi hawawezi kufanya lolote na mihimili iendelee kila mmoja kubaki kwenye shughuli zake na sio leo eti spika anaongoza serikali, vyote hivyo tija ni ndogo.
 
Unalisha watu matango pori Mkuu, kama huna cha kupost sio lazima kupost!
 
Back
Top Bottom