Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,086
- 4,881
Mkuu wengi hawaelewi how finance and money works. Wanadhani serikali na mifuko inachuma pesa kwenye mitiDo you know how pensions work?if the answer is no ,go and look it up,you will understand why most countries are raising the age of retirees na jibu la swali lako utalipata!!!mfn. Britain waliongeza toka 62 kwenda 67 kama sikosei...look up the reasons why!
Kwa sasa KUSTAAFU kwa HIARI ni 55 ila unaweza kuomba kwa sababu za kiafya kuja Jamaa ameomba amekubaliwa na AmelipwaNakubaliana na wewe. Mimi ingewezekana ikifika miaka 50 ning'atuke ila nawaza sheria inasemaje
Kwani Watakao Ajiriwa nao siwatakuwa Wanafanya kazi?Mifuko ya penshen itakauka kwakua waty wenye uwezo wa kufanya kazi watakua wanastarehe wanakula penshen
Issue ni kwamba hawa wataenjoy penshen muda mrefu kutokana na kuwa na umri.mrefu zaidi ya kuishi. Mifuko itakauka.Kwani Watakao Ajiriwa nao siwatakuwa Wanafanya kazi?
Mimi kwa kazi yangu hiari ni 60, lazima ni 65 ila naona ni utumwa tuu. Natamani niwe free lander soon maana nimeshaweka msingi wa maisha yangu nikasake financial freedom.Kwa sasa KUSTAAFU kwa HIARI ni 55 ila unaweza kuomba kwa sababu za kiafya kuja Jamaa ameomba amekubaliwa na Amelipwa
Itakauka au walioweka watazichukua?Hawapewi bure.Ni zao.Mifuko ya penshen itakauka kwakua waty wenye uwezo wa kufanya kazi watakua wanastarehe wanakula penshen
Ili waendelee kuwakopesha CCM?Mifuko ya hifadhi za jamii wanatamani hata iwe 70.
Huijui pensheni weweItakauka au walioweka watazichukua?Hawapewi bure.Ni zao.
mm napendekeza wasifanye kazi kabisa wakae nyumbani tu wale ugaliSijasoma ulicho andika zaidi ya title ila nakuunga mkono ukomo wa kustaafu ushushwe chini.
Wewe umependekeza miaka 50 nami napendekeza 45.
Ipatikane nafasi kwa vijana wetu nao kuajiriwa na kujipatia mitaji ya kujiajiri na kuajiri.
Chukulia mfano mtu ni dereva wa manispaa unamstaafisha akiwa na miaka 45,hapo watoto wake hata chuo hawajafika,mshahara wake ulikuwa laki tatu,pensheni atakuwa anapokea elfu hamsini kila mwezi,je ataweza kusomesha watoto wake wafike chuo kama wewe!?labda ingekuwa ukistaafu unapewa Kiiunua mgongo chako chote,milioni kama 50,au ikibaki miaka 10 ustaafu unapewa mshiko wako uanze kujiandaa,Wadau Nawasalimu.
Ni wakati sahihi kwa Sasa SHERIA ya KUSTAAFU kwa WATUMISHI wa UMMA iangaliwe.SHERIA hii ni ya ZAMANI sana na ilikuwa na SABABU ya kuwepo kwani WASOMI Walikuwa WACHACHE sana.
Hivi Sasa NCHI yetu ina WASOMI Wengi sana na Uwingi wa WASOMI kumesababisha UKOSEFU MKUBWA wa AJIRA ikiwa ni Pamoja na WATUMISHI kukaa ktk UTUMISHI mpaka Afikishe Miaka 60 ndio ASTAAFU Muda ambao ni MREFU sana
Ushauri wangu ni kuwa SERIKALI irekebisha UMRI wa KUSTAAFU Kutoka MIAKA 55 kwa HIARI iwe MIAKA 45 Na MIAKA 60 kwa LAZIMA uwe MIAKA 50 ili Kuwapisha WASOMI wengine Walitumikie TAIFA na hao WASTAAFU Wakajipumzishe Wakiwa na NGUVU kuliko sana Wanapumzika wakiwa WAMECHOKA SANA. Isitoshe itasaidia KUPUNGUZA Ukosefu wa AJIRA kwa WASOMI wetu.