Ukomo wa ajira vyeti feki huu

Ukomo wa ajira vyeti feki huu

Huu wimbo tumeuchoka
Yaani mpaka najiuliza hawa viongozi huwa hawamwogopi Mungu,
Namumbuka Shedrack, Meshack,na Abednego walipokuwa tayari kupoteza nafasi zao na roho zao ili tu wasiisujudu sanamu ya mfalme .Sasa viongozi wetu wako tayari kupotosha haki ili tu waendelee kukalia viti huku wakisahau kila jambo ulitendalo lazima utalitolea hesabu
 
Mbona wenye vyeti feki bado wanadunda, tena kuna wengine nawajua, juzi wamepandishwa vyeo. Kwa kweli sijui dhumuni lake. Yaani serikalini waliosoma Na vyeti vyao halali ndo wanaonewa, ila wenye vyeti feki ndo wameshikilia nyazifa
 
Kinacho nishangaza kuna watu hawana vyeti na wengine wana share vyeti na wengine wanvyo feki bado wapo na wanalamba salaries kama kawa sijui walikuwa wana hakiki nini maana hata siwaelewi hawa watu ,nguvu nyingi matokeo hakuna.
Wataje kabisa tuwajue sheria ichukue mkondo wake yaani ww ni raia mwema isaidie serikali yako tukufu pale unapoona inaenda mrama!!nasubiri jibu
 
Mtoto wa Masikini Cheti feki atakipatia wapi? Tunapohoji tuwe tunajaribu kufikiria kwanza. Kwanza Fake Certificate inategemea na Uchumi wa mtu. Maana Cheti hicho hununuliwa kwa gharama kubwa.
Upo wewe unayehoji?
Nani kakudanganya hayo? Kwa taarifa yako watoto wa masikini ndio wengi wanafoji vyeti, fanya research kidogo kuanzia polisi, jeshini, magereza; nakadhalika halafu urudi hapa. Muulize waziri wa utumishi ni lini watafanya ukaguzi wa vyeti jeshi la polisi, magereza na huko jeshini! Cheti feki hakiwezi kuuzwa bei kubwa kwa kuwa ni feki! elewa siku zote kitu feki hakiwi na gharama kubwa kama unavyofikiri!
 
Kinacho nishangaza kuna watu hawana vyeti na wengine wana share vyeti na wengine wanvyo feki bado wapo na wanalamba salaries kama kawa sijui walikuwa wana hakiki nini maana hata siwaelewi hawa watu ,nguvu nyingi matokeo hakuna.
WAFICHUENI KM MNAWAFAHAMU, WAZIRI CYO MALAIKA ANA WATENDAJI WA CHINI YKE
 
wanakandamiza wa za wengine kwa kisingizio cha uhakiki,, uhakiki gani usioisha???????
 
Yaani mpaka najiuliza hawa viongozi huwa hawamwogopi Mungu,
Namumbuka Shedrack, Meshack,na Abednego walipokuwa tayari kupoteza nafasi zao na roho zao ili tu wasiisujudu sanamu ya mfalme .Sasa viongozi wetu wako tayari kupotosha haki ili tu waendelee kukalia viti huku wakisahau kila jambo ulitendalo lazima utalitolea hesabu
Ngozi nyeusi ni shida
 
Yeye mwenyewe Kairuki mbinu zake anazotumia pamoja na mawaziri wenzake jinsi wanavyo display problem solving skills za wizara vyeti vyao vinatia mashaka.

Na wakikiakiwa tutakuta wana genuine qualification, if that is the case tatizo sio vyeti tu watu pia kushikilia au kuteuliwa bila ya right SKA' to perform on their roles ni shida.
 
Uongozi umeshawashinda wamebaki na matamko yasiyokwisha na hayana tija, vitisho na usanii wa eti kuomba samahani wakati bado wanaendelea kufanya madudu yale yale ya kuwakumbatia na kuwakingia kifua mafisadi akina lugumi, Simon kisena, wale wa escrow etc Wabunge wapiga madili na wakwepa kodi mshahara wa mwaka 410 millioni lakini hawataki kulipa kodi.

Imebaki myda gani kwa mwaka wa bajeti 2016/17 kuisha. Si wangeanza kwa kuwarudisha kazini waliozuiliwa na kuwapandishia ngazi za mishahara wenye stahiki zao?
Hapo Kairuki anapiga alinacha tu. Angeanza Ku edit kauli zake.
 
Nkanga chief ..
.

Mmfungulie kifungon jamii forum ..aaaaa ni ndoto mie cpend uchochezi kila mtu atabeba dhambi zake
 
hiv huyu mama kigezo gani walitumia kumchagua kuwa waziri? Mbona hafiti hv ho waliomteua hawaoni madudu yake? au kwakuwa ana amefungasha nini?
 
Baada ya faru, anaefata kwa.kunikera ni huyu.mama....
k ni k, kairuki pia k
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wataje kabisa tuwajue sheria ichukue mkondo wake yaani ww ni raia mwema isaidie serikali yako tukufu pale unapoona inaenda mrama!!nasubiri jibu
Kipo kitengo maalum kulicho kula na posho kabisa kuzunguka nchi nzima zaid ya miezi sita hadi saba nadhan waendelee tu na huo uhakiki huenda labda watawabahatisha.
 
WAFICHUENI KM MNAWAFAHAMU, WAZIRI CYO MALAIKA ANA WATENDAJI WA CHINI YKE
Na ndio hao wanapaswa kufanya kazi maana kwa idadi ya watumish 600000. Kuwahakiki kwa miezi saba si jambo dogo ngoja waendelee huo uhakiki huenda watawabahatisha maana kwa wastani ni kama wanahakiki watumishi 2000 kwa siku tangu waanze mwezi April-2016 hadi leo , hiyo si kazi ndogo mkuu ngoja waendelee kwanza wao na mitambo yao tujiridhishe maana isije kuwa kama kuzima cm feki hala zote leo zipo hewan tena.
 
Back
Top Bottom