Kkimondoa
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 4,452
- 4,937
Tunaamini wanafanya kazi kwa umakini wa hali ya juu sana hasa ukizingatia mda ulio tumika na unaoendelea kutumika kutekeleza zoezi hilo , na isitoshe wanatumia mitambo na technology pia hivyo nadhani walisha jiridhisha na utendaji wao, Na wangekuwa wanahitaji manual work kwenye hili wangetushirikisha hilo, lakini walikuja na mbinu zao ambazo waliona ni bora zaid na hazikwepeki hivyo mimi sina mamlaka juu ya hilo.umesaidiaje kwenye hili wewe,umetoa tarifa takukuru au polisi?