Baba Clara
Member
- May 10, 2011
- 94
- 27
Nenda kapimwe akili tahila sio lazima aokote makopoNdg wana JF katibu wa BAVICHA mkoa wa Tanga katunga kitabu nimefanikiwa kukipata leo asubuhi kwa wamachinga kariakoo, kimsingi ukikisoma unaweza kuanzisha maandamano hapohapo ulipo...ila CCM wakijua ni hatari kwani kajiachia sana kwa kuichokonoa serikali tena kwa current issues huenda kitafungiwa....nime scann covers la kitabu na nime attach kwenye taarifa hii....mwandishi anaitwa Deogratius Kisandu inaonekana ni mwanafunzi wa chuo fulani cha Tumaini.
Hujaeleweka yupi akapimwe aliyeleta taarifa au aliyeandika kitabu na kwa sababu gani.Nenda kapimwe akili tahila sio lazima aokote makopo
Mkuu Fide sijakusoma kabisa hapo.Nenda kapimwe akili tahila sio lazima aokote makopo