Ukombozi kwa wafugaji wa kuku

networker

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
570
215
Habari wana jamii kwa wale wenye miradi ya kuku tuna uza vyakula vya kuku kwa garama nafuu na vyakula vilivyo na ubora wa hali ya juu na salama kwa kuku wako

vyakula hivi ni kwa kuku wa nyama na mayai pia ukipenda kwa kuku wa kienyeji ni sawa, vyakula vyetu husaidia kuku kuwa wakubwa mapema ,kuongezeka kilo na pia kutagaa mayai mengi.mfano watu wengi wamekuwa waki nunua kuku mia wa mayai lakini sio wote wana tagaa. kupitia vyakula vyetu kuku wako wote wata tagaa,kuku wa nyama wanakuwa wazito na wakubwa sana hivyo kukupatia faida pindi unapo wauza .

1-starter- vifaranga wanapo anguliwa
2-grower- chakula cha kukuzia
3- finisher- wakisha kuwa wakubwa
4- layers

Tuna patikana Ubungo opposite na kituo cha mabibo hostel
Tunajulikana kwa jina la Lenny feeding
TUna pokea order kubwa na ndogo na tunasafirisha kwa atakae taka kusafirishiwa mikoani kwa gharama nafu
bei za vyakula vyetu hivi viina anzia Tsh 32,000 hadi Tsh 36,000

kwa mawasiliano juu vyakula hivi au kununua piga hizi namba 0655275328 au 0784275328
 
Thanks...nitakutafuta
 
fafanua bei kwa kila chakula,pia sema chakula chako kina tofautianaje na cha wauzaji wengine.
 
Back
Top Bottom