Kama ilivyo kwa msemo wetu kuwa cdm ni tunu ya taifa na tulianza na mungu na tutamaliza na mungu
Binafsi naona kuna tatizo. Kitendo cha makamanda wengi kukaa kimya na kumuachia mbowe si dalili nzuri. Kama vile wamesusa. Lema wapi Arusha, Mnyika, Mdee wapi Dar? Woote kimyaaaa. Tundu lisu? Dr. Slaa! Tafakuri tafadhari.Viva Chadema
Na hakuna aliye mkubwa kuzidi chama
Na hakuna aliye mkubwa kuzidi chama
Binafsi naona kuna tatizo. Kitendo cha makamanda wengi kukaa kimya na kumuachia mbowe si dalili nzuri. Kama vile wamesusa. Lema wapi Arusha, Mnyika, Mdee wapi Dar? Woote kimyaaaa. Tundu lisu? Dr. Slaa! Tafakuri tafadhari.
Kura si kigezo pekee cha uhalali wa kuongoza watu zaidi ya million 40, ndio maana wako wasiopiga kura na bado katiba inawapa haki na wajibu wa kuheshimu mamlaka ya Urais, ukiacha kura mgombea ajipime kwa namna anavyoungwa mkono na anaowaongoza.
Unaweza kuanza kutoa tathmini ni mgombea gani mpaka sasa anayeungwa mkono mijini, kabla hata ya kampeni, rejea jk alipoingia madarakani 2005, muelekeo wa ushindi wa kishindo ulianza pale tu alipoonyesha nia na kupitishwa na chama chake. Watu tulijitokeza kila alipopita kuonyesha namna tulivyokuwa na imani naye, na matokeo yaliakisi uungwaji mkono wa wazi, hakuhitaji mkapa ampigie kampeni kuweza kushinda, alisimama kwa miguu yake mwenyewe kwa kushirikiana na washirika wake, ikamuwezesha kushinda kwa kishindo bila ubishi.
Vivyo hivyo hivi sasa tuanze kufanya tathmini namna wagombea wanavyo hitaji backup ya hali ya juu kuweza kusimama, hii inatukumbusha mwalimu nyerere aliposema "mjue mtu mnaye mchagua ni lazima akubalike, kwa kuwa hatakuwa kiongozi wa ccm peke yake ila Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivyo ni lazima akubalike na umma".
Nguvu kubwa inatumika kuwachafua wagombea walioruhusiwa kuchukua fomu kwenye vyama vyao hapo kabla, ikidhihirisha vigezo walivyokuwa navyo, na sasa wamehama, tuhuma peke yake haziondoi haki kwa anaye tuhumiwa, hasa ukizingatia kwamba tuhuma nyingi za kisiasa ni chuki zinazolenga kuwathoofisha washindani, mfano na wajibu wa kuwashitaki waliohusika kwenye kashfa ya Richmond ilibaki kwa waliomadaraki kwa miaka zaidi ya saba, hii ikimaanisha kwamba tuhuma hazikuwa na mashiko na uhalali wa kuwashitaki mliwachafua.
Mliopo madarakani mtujuze vision ya taifa iko wapi?, ahadi mlizo toa tangu awamu ya kwanza ni kwa kiasi gani zimetekelezwa?, mnahitaji miaka mingine mingapi kukamilisha ahadi mpya na za zamani?, kapu la madeni limejaa kwa kiasi gani?, shillingi ya Tanzania inakwenda wapi?, ongezeko ajira kupitia viwanda limefikia wapi?, na mwisho takwimu za idadi ya watu wasiojua kesho yao?
Itaendelea muda mfupi ujao....................
Binafsi naona kuna tatizo. Kitendo cha makamanda wengi kukaa kimya na kumuachia mbowe si dalili nzuri. Kama vile wamesusa. Lema wapi Arusha, Mnyika, Mdee wapi Dar? Woote kimyaaaa. Tundu lisu? Dr. Slaa! Tafakuri tafadhari.
Chadema ni ya wananchi kamwe haiwezi kutetereka.
Chama cha siasa ni watu na sera bora....hiyo ndo chadema
Ila ccm kmekuwa chama cha familia
Napenda kuipongeza CHADEMA kwa ukomavu mkubwa wa kisiasa walioonesha katika kipindi hiki kigumu cha mpito na mtikisiko mkubwa wa kisiasa kuwahi kutokea ndani ya chama.
Wengi walifikiri CHADEMA ingepasuka vipande vipande pale Zito alipotoka, lakini CHADEMA imebaki imara na kuendelea hata kuwa na nguvu zaidi, aliyepasuka ni Zito mwenyewe.
Halafu watu walifikiri CHADEMA ingevunjika aliporudi nyuma Dk Slaa, lakini nimefurahishwa na ukomavu wa wanachadema kwani wameona kuwa hata bila ya Slaa CHADEMA inawezekana na wamebaki kuwa wamoja na chama kimekuwa na nguvu hata zaidi ya huko nyuma.
Tuendeleze mshikamamo kwani adui wa taifa letu siyo mtu binafsi ni mfumo mzima wa CCM.
Binafsi naona kuna tatizo. Kitendo cha makamanda wengi kukaa kimya na kumuachia mbowe si dalili nzuri. Kama vile wamesusa. Lema wapi Arusha, Mnyika, Mdee wapi Dar? Woote kimyaaaa. Tundu lisu? Dr. Slaa! Tafakuri tafadhari.
Binafsi naona kuna tatizo. Kitendo cha makamanda wengi kukaa kimya na kumuachia mbowe si dalili nzuri. Kama vile wamesusa. Lema wapi Arusha, Mnyika, Mdee wapi Dar? Woote kimyaaaa. Tundu lisu? Dr. Slaa! Tafakuri tafadhari.
Mkuu nilitafakari kabla ya kuandika, mambo ya ccm sijayatafakari, natafakari ya chadema.Wote hao unaowataja walikuwa ni wabunge na bunge limevunjwa sasa hivi wanajipanga kwa ungwe ijao. Mbona Pinda na Dr Bilal nao kimya? Au hilo hulioni? Tafakari kabla kuandika !