Napenda kuipongeza CHADEMA kwa ukomavu mkubwa wa kisiasa walioonesha katika kipindi hiki kigumu cha mpito na mtikisiko mkubwa wa kisiasa kuwahi kutokea ndani ya chama.
Wengi walifikiri CHADEMA ingepasuka vipande vipande pale Zito alipotoka, lakini CHADEMA imebaki imara na kuendelea hata kuwa na nguvu zaidi, aliyepasuka ni Zito mwenyewe.
Halafu watu walifikiri CHADEMA ingevunjika aliporudi nyuma Dk Slaa, lakini nimefurahishwa na ukomavu wa wanachadema kwani wameona kuwa hata bila ya Slaa CHADEMA inawezekana na wamebaki kuwa wamoja na chama kimekuwa na nguvu hata zaidi ya huko nyuma.
Tuendeleze mshikamamo kwani adui wa taifa letu siyo mtu binafsi ni mfumo mzima wa CCM.