Ukoloni umerudi upya

Kuna haja ya kuwa na rais kijana <40 maana kuna sheria nyingine hata unashindwa kuelewa waliozitunga kama wako 2020, hebu eti fikiria kuna sheria inayowataka watu kisajili website/blogs zao hata kama zinatumika kuelemisha jamii juu ya mambo ya msingi kama vile afya nk.

Aibu hii sasa kuishi kwenye nchi yenye sheria za namna hii
 
Wanaotunga hivi vijisheria sijui huwa wanalenga nini?
Wanalenga kupiga makofi zile meza za bungeni. Ni mpaka WANANCHI wajue umuhimu na kazi ya mbunge awapo bungeni ndo huu ushenzi utaisha. HEMU FIKILIA LUSINDE YUPO BUNGENI HIYO SHERIA ANAACHAJE KUIPITISHA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…