Ukoloni umerudi upya

Wanalenga kupiga makofi zile meza za bungeni. Ni mpaka WANANCHI wajue umuhimu na kazi ya mbunge awapo bungeni ndo huu ushenzi utaisha. HEMU FIKILIA LUSINDE YUPO BUNGENI HIYO SHERIA ANAACHAJE KUIPITISHA.
Msukuma nae wapo wengi akina kale kazee ka kule Rukwa jimbo la Nkasi kalikosema magufuli awe Rais wa milele
 
Wabunge wengi wa CCM hawajui kingereza hata wale wanaojiita wasomi wengi wana vyeti vya kununua waliiba mitihani wakafaulu wakamiliki vyeti pasipo Taaluma sahihi kichwani, wengi hawapendi kazi za kitaalam kwa hofu ya kuumbuka Taaluma zao, Tanzania mtu asiye na cheo aweza kumpa Amri Rais na akaitekeleza, mfano ni mwigulu Nchemba akiwa mbunge alitoa Amri ya kuwa Tanzania iache kutangaza takwimu za covid 19 kesho yake akateuliwa waziri wa Sheria kabla hata marehemu Maiga hajazikwa utazani mwigulu Nchemba ndiye alimtoa kafara ili arithi ofisi yake, Mpaka sasa Amri ya mwingulu imetekelezwa na magufuli hawatangazi takwimu na wamevunja Amri za waziri wa Afya hawanawi mikono, kujipaka vitakasa mikono wala kuvaa barakoa, waziri wa Afya kadharauliwa anasikilizwa waziri wa Sheria ingawa Amri alitoa akiwa mbunge wa kawaida tu.
 
Licha ya ubabe wa magufuli wapo watu humpelekesha kama ilivyokuwa kwa Bashite hapo awali na sasa anatekeleza Amri ya mwingulu Nchemba ya kutotangaza takwimu za wagonjwa wa corona .
 
Ukweli ni kuwa japo wakoloni walikuwa wabaya lakini hawakuwa wabaya kama hawa viongozi wetu. Na ndiyo maana ukiangalia mpaka leo hii mataifa yale yaliyotawaliwa kwa miaka mingi zaidi na wakoloni yana uafadhali wa maendeleo kuliko mataifa yaliyopata uhuru mapema.
AAAaAQAAAWwaAea
Mpaka leo kukiwa na vita Africa au Uarabuni, wanaonewa kimbilio lao ni kwa wakoloni.

Ukoloni wa mwafrika kwa mwafrika mwenzake ni mbaya kuliko ukoloni wa mzungu kwa mwafrika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahihi kabisa. Hawa jamaa sijui walizaliwa na binadamu kama sisi au vipi
 
Asante sana kuleta hii mada. Watz wengi hawafahamu athari za raisi huyu. wamekaa wakishereheka kuthibitiwa wapinzani wakati tunaumia sote kama raia.Sisi wazanzibari ndio tubajua nini maana ya kunyanyaswa na ukoloni mambo leo. Shida zinatukuta kila aina mbali na hayo ulio yataja, hapa kwetu kama huna kitambulisho cha CCM hupati ajira wala huduma katika baadhi ya ofisi za serikali. ikiwa huna kitambulisho huna haki ya kufanya lolote inafika sasa hata kuuziwa shamba uwe na kitambulisho cha chama tawala. Mateso yana mwisho na mwisho hauko mbali tena. Maamuzi magumu lazima ya fanywe kama tunataka kuishi kwa salama.
 
Kuna haja ya kuwa na rais kijana <40 maana kuna sheria nyingine hata unashindwa kuelewa waliozitunga kama wako 2020, hebu eti fikiria kuna sheria inayowataka watu kisajili website/blogs zao hata kama zinatumika kuelemisha jamii juu ya mambo ya msingi kama vile afya nk.

Aibu hii sasa kuishi kwenye nchi yenye sheria za namna hii

Mliambiwa "wakimalizana na sisi wapinzani mtafuata wengine" - Tundu Lissu.

Mkiambiwa muunge mkono kambi ya upinzani ili muwe watu huru si tu katika kupashana habari, ajira binafsi kupitia online platforms, Maendeleo ya Watu, demokrasia mnajifanya nyie ni watu wa kuunga juhudi huku mkisifu, kuimba na kutukuza utawala wa CCM Mpya.

Leo mnakuja huku mkilia na kusaga meno . Kubwa ni kuwa hamjachelewa kuna nafasi ya kufanya 28 Oktoba 2020.

Rudisheni uhuru wenu wa kujiletea Maendeleo ya Watu (mtu) kwa kuikataa CCM Mpya na kuchagua wabunge wengi zaidi wa Upinzani kupitia sanduku la kura.
 
Asante sana kuleta hii mada. Watz wengi hawafahamu athari za raisi huyu. wamekaa wakishereheka kuthibitiwa wapinzani wakati tunaumia sote kama raia.Sisi wazanzibari ndio tubajua nini maana ya kunyanyaswa na ukoloni mambo leo. Shida zinatukuta kila aina mbali na hayo ulio yataja, hapa kwetu kama huna kitambulisho cha CCM hupati ajira wala huduma katika baadhi ya ofisi za serikali. ikiwa huna kitambulisho huna haki ya kufanya lolote inafika sasa hata kuuziwa shamba uwe na kitambulisho cha chama tawala. Mateso yana mwisho na mwisho hauko mbali tena. Maamuzi magumu lazima ya fanywe kama tunataka kuishi kwa salama.
Kweli kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom