Uko wapi?

Nna shosti wangu mumewe kamwe hampihii simu mchana na akipiga haulizi ulipo. Kama anaulizia misumari yake atauliza immediately na ukimjibu anakuambia poa. Huwa analalamika kweli.

Kuulizwa hilo swali kuna ladha yake banaa. Nisipoulizwa ntaanza visa hadi akome
 

Ama sivyo unajiona kama abandoned au?
 
wakat mwingine inasaidia kamata mwizi,mtu akitaja sehemu ulipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…