Uko wapi Wimbo wa Taifa wa Tanganyika?

"kila penye neno Tanganyika weka Tanzania", Nyerere decree.
 

** oky,

mkuu mbona nimebonyeza lakina sijaupata?
 


Wimbo wa taifa ni huu tunaoimba sasa
MUNGU IBARIKI AFRICA ilikuwepo ila ubti wa
MUNGU IBARIKI TANGANYIKA sasa TANZANIA maneno mengine yote yalibaki kama kawaida
 

kama unajua wimbo wa baba yako wa kambo basi ondoa neno tanzania weka jina tanganyika huo ndio wimbo wa biological father wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…