Uko wapi uzalendo wa vyama vingine vya upinzani mbali na CHADEMA?

Uko wapi uzalendo wa vyama vingine vya upinzani mbali na CHADEMA?

Benaire umewaona hawa?!!.. Ni wana CCM kwakuwa JK yupo!.. Lowasa/membe/magufuli/6/mwakyembe wakigombea URAIS basi wanaiacha CCM!!

Acha POROJO wewe...
Nyinyi mshasema CUF si chama cha Upinzani...
Sasa mnataka wawape suport kivipi....
Matatizo yenu Na mwigulu mnataka CUF wawahurumie ?
CUF wameongoza Kambi ya UPINZANI Bungeni zaidi miaka kumi...
na mara zote walijumuisha vyama vyote vya Upinzani.....

Nyinyi kuipata tu nafasi ..mkasema CUF si chama Cha UPINZANI...

Muombeni POO MWIGULU
 
mkuu huu sio msaada tutani ni kutaka kujua kama hivi vyama ni vya upinzani kweli kama wanavyojinadi kwa jamii.Kumbka kuwa yanayoendelea bungeni yanawakera mpaka baadhi ya wana CCM wapenda haki.

Mtake kujua nini ?
Wote tumeshakubaliana CUF si chama cha upinzani....
Chama cha upinzani ni CHADEMA peke yake...
Kwa hiyo pambaneni makamanda....

Yani nyinyi Pamoja na sugu na LEMA kugonga VIROBA kabla ya kuingia Bungeni bado mnashindwa na MWIGULU ?
 
itakukuwa saa izi umekalia libolo bengo maana unavyo bonga kilaza mkubwa wewe na angalia sana mwigulu ni kuadi tu wa balali pale bot bank of tanzania baadae balali akaomba mzigo kwa mwigulu so mwigulu ni shoga tu naona wewe mwanachama mwenzake ndio maana unabonga
 
Wapo kwenye upembuzi yakinifu ili kuanza mchakato wa kubuni njia mbadala za kuchagiza hatua mbali mbali zinazoweza kuleta majibu chanya wakati muafaka mpango huo wa utekelezaji utakapoanza kwa kasi mpya ili kukamilsha azma ya kufikia malengo ya milenia kama ilivyo pia kwenye mkukuta na 2 uliofanyiwa tathmini kwa ufadhili wa world bank unaokamilika awamu ya pili!Iwapo si kweli basi waje wakanushe!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

umenifrahisha sana ndugu we utakua mdogo wake waziri mwanri
 
Mmeshaona mambo magumu mnaanza kuomba msaada tutani. Ninawahakikishieni wanachama wa CHADEMA hadi muda kama huu mwakani kila mwanachama atakuwa ameshairudia kazi/biashara yake ya zamani.

Hatuwezi kuruhusu watu waishi kijanja-janja mjini kwa kivuli cha CHADEMA.

Dada swaumu nikupe pole kwa kuwa mtanzania asiye jitambua,kwa akili zako ziszo na king'amzi unadhani ulivyo mvivu wa kufkri watz wote tutakuwa hivyo?kinachofanywa na maspka na baadhi ya wabunge pale bungeni ni ujinga,uhuni na wendawazimu unadhani wapiga kura wa Nkamia wakiulizwa matusi aliyoyatoa bungeni mbunge wao watakubariana na kitendo hicho?ama unadhani mwiguru kitendo cha kufadhiri vitendo vya kiharifu nchini kwa kutumia fedha za umma je wapiga kura wake hawana mahtaji na hizo pesa kwa maswala ya msingi?wabunge wa ccm wamefka mahara wanaona adui mkubwa wa taifa hili ni cdm na sio umaskin,ujinga,maradhi,rushwa na wizi wa mali za umma,wabunge wa chama hicho kamwe kama unamjua mungu na kuijua haki ni nini, na nani anapaswa kuidai na kwa wakati gani,basi huwez kuunga mkono chama hicho.
 
Mtake kujua nini ?
Wote tumeshakubaliana CUF si chama cha upinzani....
Chama cha upinzani ni CHADEMA peke yake...
Kwa hiyo pambaneni makamanda....

Yani nyinyi Pamoja na sugu na LEMA kugonga VIROBA kabla ya kuingia Bungeni bado mnashindwa na MWIGULU ?

Gonga wewe ni magamba, kachukuwe posho yako lumumba, tuachie makamanda wetu.
 
Kumbe maccm yanakubali chadema ni makamanda.
 
Yani wewe umekosa cha kuandika mpaka uandike matusi ?

Aliyelawitiwa ni wewe na Baba yako shoga mkubwa wewe....
Mmesharikoroga Bungeni halafu mnataka msaada wa CUF....
Si mshasema CUF sio Chama chama cha upinzani...
Na pia mliikataa kuwajumuisha katika kambi ya Upinzani...sasa mnataka msaada wao wa nini...
We ***** kweli ...mbwa mmoja....Kila tusi unalolijua wewe duniani jua nimeshakutukana

Na bado mpaka mtamuomba POO mwigulu....
Yani nyinyi wote mnahangaishwa na mtu mmoja anaitwa MWIGULU halfu mnajiita makamanda ....

Wewe mmoja sisi elfu 1,haaaaah haaah chadema ipo na itaendelea kuwepo,ndo uchaguzi wa Mungu huo kwa ajili ya ukomboz wetu,wewe ongea hadi povu mdomoni lakin ujue huwez kuzuia M4C inatambaaaaaaaaaaa nchi nzima, people's poweeeeeeeeeeeeeeeer
 
Jamani angalia nchi kama Ujerumani wakati bunge linaendelea. Angalia maongezi ya chama cha upinzani kama SPD au FDP nk. Sioni tofauti ya CDM inachokifanya na vyama vya upinzani kama SPD au wakati mwingine CDU ikiwa kama chama cha upinzani. Hawa jamaa wanafanya kazi nzuri ila TATIZO NI UTARATIBU ULIOPO BUNGENI. Hivi hata wewe kama ni mbunge wa chama tawala kweli huoni kasoro hapo bungeni? Basi kama huoni kasoro basi ninaona hata ile jumapili kwenda kanisani kwa wakristo ni kupoteza muda wako bure, na kwa wabunge ambao ni waisilamu kama hawaoni hizo kasoro basi kwenda kwao msiktini pia ni kupoteza muda wao! Jamani jaribu kuwa wakweli, hivi wewe kama mbunge wa chama tawala huoni ujinga unaofanywa na baadhi ya watawala wenu kweli? Hivi ukiwa nyumbani unamueleza nini mtoto wako akikuuliza kitu gani umefanya tangu uwe bungeni for the country or your constituency! Tuache ushabiki ila ukweli ni kwamba hawa jamaa wa CDM ni wakombozi wa sisi tuliobakia kama samaki wadogo katika nchi yetu.
 
Acha ushabiki wa KICHAGA....
Hivi kunawafanya CHADEMA mpoteze mvuto....
Wewe unaona mwenzako kasema LIPUMBA kaliwitiwa nimemjibu wewe imekuuma....
Au ndio sera zenu.....
Ushalewa MBEGE ?
 
Gonga wewe ni magamba, kachukuwe posho yako lumumba, tuachie makamanda wetu.

Ok basi msiombe msaada wa vyama vengine .....
WAmbieni wabunge wenu wamuombe POO mwigulu...LA sivyo mtalia
 
ccm haikubaliki wabunge wanatukana matusi ya nguoni harafu magamba wanashangalia hii akili au matope
 
Bunge la awamu ya pili ya Jk limegeuka kuwa ni mapambano ya vyama viwili bungeni CCM kama chama tawala kikiwa upande wa serikali na CHADEMA Kama chama pekee pinzani.

Sasa najiuliza hivi bungeni hakuna vyama vingine vya upinzani? Na je NCCR,CUF,TLP na UDP wanaridhika na yanayoendelea bungeni? Kama wanayaona wanakaa kimya nini mustakabali wa vyama vyao mbele ya uso wa watanzania wapenda haki?

Nawasilisha....

NCCR baadhi wanajitahidi
 
CUF wao ni wachumia tumbo wanaenda mwendo wa ubwabwa na yakhe wao yuko ikulu Zanzibar ajinywea ghahawa tende kwa haluwa hana habari tena na maswala ya upinzani. Sasa hivi CUF imeanzisha chama kidogo kinachoma makanisa zenji.
 
Nafuu hata NCCR mageuzi lakini vingine vilivyobaki ni mtori tu kwa kweli. suluhisho ni kwamba CHADEMA na NCCR mageuzi wanaonekana kuwa mkombozi wananchi wawaunge mikono kwa nguvu zao zote kani bila CHADEMA nchi hii itakwisha kwa kuliwa na mafisadi wa CCM kuanzia juu hadi chini
 
Cuf haiwezi kijadili utumbo bungeni Mbowe kakulia ikulu atakuwa mpinzani kumzidi lipumba Cuf inapambana na Mfumo mbovu unaoongoza nchi chadema wanaona tatizo ni kikwete wakati Wa Mkapa mlikuwa kimya
 
Back
Top Bottom