nini nifanyeNdio maana huzipati,
hiyo connection yenyewe ni pesa na watakwenda mbali na kukuambia toa pesa upate..Habarini humu ndani
dharau, kejeli na matusi yamekua nimengi sana mtaani. nimeamua kuzima zote kuwasha moja tu.
Kelele zimekua ninyingi sana mtaani kuhusu kupata utajiri kwanjia ya kiganga (nazo pia zimekua ngumu kupata)
NAHITAJI CONNECTION MOJA TU YAUHAKIKA YAKUNIFANYA NIPATE HIZO PESA ZAMOTO NIMECHOKA UMASKINI
pesa zipo nyingi sana ila connectionPesa adimu sana
kupata hio connection wabongo tunazibiana sanaNdivyo hali ya konnection za sasa ilivyo
View attachment 3431132
Akili Yako ushaipeleka kwenye koroga ndio upate pesa,nini nifanye
Sio wabongo bwashee , pambana kibingwa uji connect mwenyewe .kupata hio connection wabongo tunazibiana sana
👍Sio wabongo bwashee , pambana kibingwa uji connect mwenyewe .