Uko wapi nikufate?

Hivi mumeo alikuwa ni m-hutu au m-tusi?? Isije ikawa ni kati ya wale waliorudisha majeshi Rwanda!
 
mimisa hivi ule mpango wetu ukoje
 
Last edited by a moderator:
Toka uniage unaenda kwa safari ya kikazi,ni miezi imepita:
Uko wapi nikufate
Niambie nipajue
Angalau nikuone
Roho yangu itulie..

Nakukosa sana mwananthropolojia wangu..

Ulikumbuka kumuuliza alisafiri kikazi kwa ajili ya KAZI gani!?? maana kuna kazi na KAZI... ohoo kalagabaho...!!
 
Last edited by a moderator:
Baba V anazo taarifa hizi?!

Taarifa ninazo sema tu mimisa mbishi na hataki kuelewa. Tangu awali nilimpa angalizo akang'ang'ania ndoa nikasema haya bwana wasijepata pa kuanzia akina Nivea kuwa mwenyekiti sijui nini na nini... yule mwananthropolojia ni em twente thrii yule.. tena naskia ni binamu yake na yule kimbaumbau I WILL HIT YOU..
 
Last edited by a moderator:
abee
mbona hana dalili za u em twente sirii jaman..
ata sio mkali kama hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…