Uko wapi nikufate?

Uko wapi nikufate?

mimisa

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
2,511
Reaction score
1,441
Toka uniage unaenda kwa safari ya kikazi,ni miezi imepita:
Uko wapi nikufate
Niambie nipajue
Angalau nikuone
Roho yangu itulie..

Nakukosa sana mwananthropolojia wangu..
 
Last edited by a moderator:
Sitaki kuamini kama mwanaume aweza lost hivihivi tu!
Au una kauvivu flani dimbani?
Una hakika unamzungushiaga kisawasa mimisa?
 
Last edited by a moderator:
nitaftie kwanza..
asije kua kapatwa na madhara
Ni yule mwenye jina kama mbarbaig!?? anthropo nini sijui!??

Asharudi msituni kwao...but here I am...
 
Back
Top Bottom