uko wapi jamani???

uko wapi jamani???

NILHAM RASHED

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
1,622
Reaction score
43
nammiss sana sana hashycool..
mohamed shossi
michelle hivi hawa watu walipoondoka waliacha salam gani jamani yaani wallah leo tangu nilipoamka majina yao yamenikaa kichwani jamani mwazijua habari zozote kuhusu wao??? miss them alot wallah,,,
 
hi
the same to me, nawamiss sana Hashycool and Michalle.
 
nammiss sana sana hashycool..
mohamed shossi
michelle hivi hawa watu walipoondoka waliacha salam gani jamani yaani wallah leo tangu nilipoamka majina yao yamenikaa kichwani jamani mwazijua habari zozote kuhusu wao??? miss them alot wallah,,,
Nimewamiss pia na Rev masanilo nimemmiss pamoja na wewe NILHAM nilikumiss
 
Mimi pia nmemmiss Hashycool na Mfamaji! Wako wp jamani?
 
Wapo kwenye fungate mwezi mtukufu unakaribia ndoa kwanza
 
mbona na wewe nilham ulipotea vile vile.mzima lakini?
 
jaman mbna mwatoa majbu ya kiswahil wenye taarfa watujuze! Mana this z the 1family.
 
Nimewamiss pia na Rev masanilo nimemmiss pamoja na wewe NILHAM nilikumiss
heeee!!!!!!!! namie pia ulinimiss.... nipewe nini tena jamani na elia yupo tanx my dear mi pia nilikumiss vile vile...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom