G geofreybenaldo Member Joined Oct 7, 2015 Posts 11 Reaction score 1 Oct 26, 2015 #61 Ccm wemepata shida sana wkt wa kampen kwa sababu ya huyu fisad hakika huyu MTU siyo wa kumchezea ktk siasa ni hatari hata Dr wilbrod silaa angegombea ccm na yeye ccm bado uwezekano wa kuanguka Dr ulikuwepo kutokana na nguvu yake huyu mtu
Ccm wemepata shida sana wkt wa kampen kwa sababu ya huyu fisad hakika huyu MTU siyo wa kumchezea ktk siasa ni hatari hata Dr wilbrod silaa angegombea ccm na yeye ccm bado uwezekano wa kuanguka Dr ulikuwepo kutokana na nguvu yake huyu mtu
Utotole JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 6,608 Reaction score 4,266 Oct 26, 2015 #62 MTAZAMO said: Gia ya angani leo inazimiwa ardhini kwa kura ....Bring back our Dr Slaa .... Click to expand... Si alirudi halafu akakimbia tena? Atakuwa amepata kazi Marekani.
MTAZAMO said: Gia ya angani leo inazimiwa ardhini kwa kura ....Bring back our Dr Slaa .... Click to expand... Si alirudi halafu akakimbia tena? Atakuwa amepata kazi Marekani.