Ukizubaa kidogo tu ushakatwa... Si unaona!!

Ukizubaa kidogo tu ushakatwa... Si unaona!!

miss strong..sasa nimejua kwa nini wangu ananiweka mbali na mashostito wake. Ila vyovyote papuch ilivyo..hakatwi mtu hapaa.
 
Last edited by a moderator:
miss strong..sasa nimejua kwa nini wangu ananiweka mbali na mashostito wake. Ila vyovyote papuch ilivyo..hakatwi mtu hapaa.

Labda.....kwahiyo mamito hataki kabisa mambo ya mashostito!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Yaani hatar kabisa.....ndo huyu bidada alijiua halafu inasemekana alikuwa mjamzito!!!!

Nafikiri hali ya kukata tamaa, kushindwa kujiamini, kujidharau na kuamini bila fulani hawezi kuendesha maisha ni baadhi ya sababu zinazowafanya baadhi ya watu kuamua kuchukua maamuzi haya yasiyo na msingi. Wanasahau kuwa maisha yanaendelea hata kama umefumania/fumaniwa au umepiga/umepigwa kibuti. Pole yao.
 
Back
Top Bottom