Ukizeeka unataka kuwa nani?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,885
Reaction score
828,459
Ujana unasemwa ni maji ya moto.. Hivyo harakati ni nyingi na ndoto ni nyingi na mipango ni mingi pia.. Lakini taratibu umri unavyosogea vyote hivyo hupungua na hatimaye kwisha kabisa..
Kuna mambo ya kufanya ujanani ambayo mtu hapaswi kufanya uzeeni
Uzee una mengi yasiyopo ujanani na ndio maana wanasema fainali uzeeni
Ila kama kuna mambo hukuyafanya ujanani kina uwezekano mkubwa ukayafanya uzeeni
Kumbuka wahuni pia huzeeka.. Na baadhi huzeeka na uhuni wao... Na ni rahisi kuwa mwanga uzeeni kuliko ujanani kwasababu ya upweke
Mimi nikizeeka nataka niwe pastor.. Vipi kuhusu wewe... ( kama utazeeka lakini๐Ÿ˜‚)
 
Mfugaji na mkulima!
 
Kwani huo uzee unafika mtu akiwa na umri gani
 
Nataka niwe mueleimisha jamii..mana vijana wa siku hizi akili zao huko tukiwaacha Dunia itakuwa haikaliki.
Pia nataka nifuge nilime bustani nikae kivyangu tu huko ndani ya himaya..sipendi makelele ya barabarani
Maisha ninayotamani
 
Mzee flani mipango mingi hata nikitaka kijana hasogee kimaisha anasogea kwa ufupi ni mzee flani la mipango miji.
 
Nataka kuwa mzee wa mjini yaani....nahakikisha uzeeni nakuwa na mishe mishe kama Koffi Olomide ila cha msingi niwe na hela tu za kutimiza mahitaji yangu sio kuomba omba ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ