Ukizaa na mwanamke hamuwezi achana

Ukizaa na mwanamke hamuwezi achana

Akili ndogo hii nazani hata huyo mzazi mwenza wako atakuwa kama wewe
 
mi sijaelewa jamaa anazungumzia nini,crap!
 
Ulichokiongea mleta mada ni kweli kabisa ndio maana tunashauriwa tusioe wanawake wenye watoto
 
Kuna dem mmoja 2008 nilisex nae tena mara 1tuu akabeba mimba ilikuwa balaa ilinipelekea adi nikaekwa ndani police nilipo toka niliondoka ilikua mwanza nikarudi zangu moshi tulipotezana mpaka 2012 tulipokuja kupata mawasiliano nikawa natuma matumizi nilimwambia tayari nimeoa ilikua mwaka 2014 nikiwa kikaz luduwa aliniambia ananiletea mtoto nimsomeshe kiukweli alimleta niliwachukulia lorge maana mm pia nilikua niishi hapo usiku nilienda waaga rum Kuna vitu vya mtoto alikua akaniambia hadi mtoto akalala sasa ci akanisogelea nikakuta nimepiga nilipo piz nilijilaum sana nikatoka spid kurud rum alikaa pale siku Tatu sikuenda tena rum adi anaondoka nikabaki na mtoto nikampeleka moshi sasa nikiwa Dar huku ni mwaka kila siku akaniambia tuonene cjawah kubal juzi ananipigia anashida na mm niende kwake mm sitaki kabisa
nyoooo
 
Haaaa haaaaa kaka Huo utakuwa udhaifu wako tu Mkuu
 
Ni ngumu kumeza...
Dada wa kazi niletee maji kidogo.....
 
Back
Top Bottom