manSniper
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 814
- 683
Kuna msichana mmoja 2008 nilifanya nae mapenzi tena mara 1tu akabeba mimba ilikuwa balaa ilinipelekea hadi nikaekwa ndani police nilipo toka niliondoka ilikua mwanza nikarudi zangu Moshi.
Tulipotezana mpaka 2012 tulipokuja kupata mawasiliano nikawa natuma matumizi nilimwambia tayari nimeoa ilikua mwaka 2014 nikiwa kikazi Luduwa aliniambia ananiletea mtoto nimsomeshe kiukweli alimleta niliwachukulia lorge maana mimi pia nilikua siishi hapo.
Usiku nilienda kuwaaga chumbani kuna vitu vya mtoto alikua akaniambia hadi mtoto akalala sasa sii akanisogelea nikakuta nimepiga nilipo pizi nilijilaumu sana nikatoka spidu kurudu chumbani alikaa pale siku Tatu.
Sikwenda tena chumbani hadi anaondoka nikabaki na mtoto nikampeleka Moshi sasa nikiwa Dar huku ni mwaka kila siku akaniambia tuonane sjawah kubali juzi ananipigia anashida na mimi niende kwake mimi sitaki kabisa.