Ukiyashangaa ya Spika Ndugai na Mbunge Mwambe utayakuta ya Naibu Waziri TAMISEMI na Meya Jacob

Tuendelee tu kwenda hivyo hivyo maana ndiyo njia tuliyoichagua wenyewe.
 
CCM inaongoza nchi kihuni huni...haya mambo ni aibu mno mbele yetu wenyewe na mbele ya mataifa.
 
Haya ni matokeo na namba moja kuwa mpuuzi, upuuzi wote unaouona ni matokeo ya Ikulu kushindwa kutawala nchi na kujiegesha kila sehemu hao wote wanawakilisha mawazo ya namba moja.
Magufuli anaendesha nchi kwa mihemuko yake binafsi, hakuna Cha Katiba,Sheria taratibu wala Kanuni za nchi.
 
Hii nchi sasa hivi inakwenda shangala bagala, kiongozi yoyote ilimradi awe wa Chama Tawala anaweza kufanya lolote mda wowote bila kuogopa Katiba,Sheria na Kanuni za nchi.

Cesil Mwambe aliitisha vyombo vya habari yeye mwenye bila kushurutishwa na mtu yoyote akitangaza kujitoa Chadema na Kujiuzuru Ubunge huku akitoa sababu zake.

Alijiunga CCM na kupokelewa na msemaji mkuu wa Chama Ndugu Polepole.

Lakini leo Spika anasema Mwambe arudi bungeni sababu barua ya kudhibitisha kuondoka kwake toka kwenye Chama Cha Chadema haijadhibitishwa.

Hivi majukumu ya Mwanasheria mkuu wa serikali ni yapi.? Haoni huu upuuzi unaondelea ndani ya bunge.?

Juzi Mkurugenzi wa Ubungo ameifanyia kazi barua feki ya kufukuzwa uanachama kwa Meya Jacobo, hata baada ya Chadema na Meya mwenyewe kutoa ufafanuzi mbalimbali lakini Naibu Waziri TAMISEMI Waitara amesema Meya wa Ubungo sio Meya tena...na Mkurugenzi kazi yake sio kuifahamu Katiba ya Chadema..

Ukiangalia haya matukio mawili utaona nchi yetu inaongozwa kwa hisia na matakwa ya watu wachache na sio kwa mjibu wa katiba na taratibu za nchi...

Serikali ijifunze kuheshimu sheria na taratibu za nchi, huko tunakoenda serikali itapata shida sana kuwaongoza Watanzania maana watakuwa Sugu sana.

Badala ya kutatua kero za wananchi itajikuta inatumia bajeti kubwa sana kuwafunga mdomo wananchi na hapo watakuwa wamechelewa sana.
Sheria,kanuni na Sera wanazitunga wenyewe lakini wao ndiyo wanakiuka,kuzipindisha na kuzivunja vunja kwa maslahi ya chama chao.
Watanzania tubadilike na kusema hapana kwa ushetani huu.Mwambe alijiuzulu nyadhifa zake zote CDM hadharani,akaikana CDM na kujiunga CCM ila Spika hakubaliani na amekuwa mtetezi wake.Mbona kwa Mh.Lissu hakufanya hivyo?
 
Nimemsikia mh, Ndungai vizuri kuhusu kumrudisha bungeni Mh Mwambe, pia juzi pia nilimsikia mukurugezi wa ubungo na pia waziri Waitara.

Nimebaki nashidwa kujua hawa wanaongoza nchi mbili tofauti. awa Waitara na Mmurugenzi wameikubali barua mbayo chadema na mwandishi wameikana kuiandika na kumfukuza Jakobo.

Sipika anamtaka mbunge aliyejiuzuru na kujiunga na chama kingine aendelee kuwa mbunge, anafika hadi anaikataa barua ya katibu mkuu cdm kisa haina muhitasali wa kikao. ya meya hata muhitasali pia haina. Nabaki bila jibu hivi nani huko sahii ebu sikia kauli zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema hawajui hata namna ya kumvua mtu ubunge,

Unaandika ki memo utadhani unachati na hawara, unatuma bungeni,

Hata mim siwezi kukubali kile kijibarua uchwara hakieleweki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi sasa hivi inakwenda shangala bagala, kiongozi yoyote ilimradi awe wa Chama Tawala anaweza kufanya lolote mda wowote bila kuogopa Katiba,Sheria na Kanuni za nchi.

Cesil Mwambe aliitisha vyombo vya habari yeye mwenye bila kushurutishwa na mtu yoyote akitangaza kujitoa Chadema na Kujiuzuru Ubunge huku akitoa sababu zake.

Alijiunga CCM na kupokelewa na msemaji mkuu wa Chama Ndugu Polepole.

Lakini leo Spika anasema Mwambe arudi bungeni sababu barua ya kudhibitisha kuondoka kwake toka kwenye Chama Cha Chadema haijadhibitishwa.

Hivi majukumu ya Mwanasheria mkuu wa serikali ni yapi.? Haoni huu upuuzi unaondelea ndani ya bunge.?

Juzi Mkurugenzi wa Ubungo ameifanyia kazi barua feki ya kufukuzwa uanachama kwa Meya Jacobo, hata baada ya Chadema na Meya mwenyewe kutoa ufafanuzi mbalimbali lakini Naibu Waziri TAMISEMI Waitara amesema Meya wa Ubungo sio Meya tena...na Mkurugenzi kazi yake sio kuifahamu Katiba ya Chadema..

Ukiangalia haya matukio mawili utaona nchi yetu inaongozwa kwa hisia na matakwa ya watu wachache na sio kwa mjibu wa katiba na taratibu za nchi...

Serikali ijifunze kuheshimu sheria na taratibu za nchi, huko tunakoenda serikali itapata shida sana kuwaongoza Watanzania maana watakuwa Sugu sana.

Badala ya kutatua kero za wananchi itajikuta inatumia bajeti kubwa sana kuwafunga mdomo wananchi na hapo watakuwa wamechelewa sana.
Ukistajabu ya ccm awamu hii utapata covid 19,jk ametuletea vilaza wa ajabu kuwahi kutokea duniani,nchi inaongozwa n watu wa hovyohovyo kma ndugai,meko,hepi,bashite,kabudi etc.
Yani ccm imekua ya hovyo kma malaya wa kimboka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom