poa poa mshamba_hachekwiJust men😇😇
Kuna mwanangu alikua na kipengele kizito kabisa ikabidi nikope sehemu nimtumie bila kumwambia nimeazima. Jibu lake sasa nilibaki nacheka tuu...
"We mshamba umetisha😂" Na ilikua ni 500k asee

Real men wanashukuru kiume sanaapoa poa mshamba_hachekwi
😀😀Just men😇😇
Kuna mwanangu alikua na kipengele kizito kabisa ikabidi nikope sehemu nimtumie bila kumwambia nimeazima. Jibu lake sasa nilibaki nacheka tuu...
"We mshamba umetisha😂" Na ilikua ni 500k asee
Mwanaume haitaji kutoa chozi au kuandika risala kuonyesha shukrani na kuridhika kwa msaada aliopewa😇😇
Alikua na hizo jero jero zako kama 19 hivii 😂😂 So wewe ndo utoe asante mkuu😂Chini ya 3000 hawajibu;
Kuna she mmoja aliniomba mia ajazie 9900 anunue bando la 10k, nkamtumia jero; kapiga kimy toka asubuhi sijui kapata au la.
Wanaoomba 5k huwa wanatuma msg kwa zaidi ya mtu mmoja, wakiwa kumi that's 50k.Unatuma 3000 au 5000 ni za vocha au maana utatoa ngapi hapo, mi akitaka kutuma hizo hela Huwa namwambia aache tu
Atume hata kanukta mkuu njue kapata, nsje kutuma tena.🤣Alikua na hizo jero jero zako kama 19 hivii 😂😂 So wewe ndo utoe asante mkuu😂
hujapenda tu ukipenda utaelewa kwann kaka anapata hela ila hajengi.Wana jf wanasema haiombwi hivyo, ila mimi mpaka sikumbuki hata kama kuna girlfriend ameshawahi kula hela yangu hata 100 sijui ni msimamo au ubahiri..
So huwa wanajitolea?Wana jf wanasema haiombwi hivyo, ila mimi mpaka sikumbuki hata kama kuna girlfriend ameshawahi kula hela yangu hata 100 sijui ni msimamo au ubahiri..
Mkuu una maanisha Wanajitolea nini ?So huwa wanajitolea?
Mkuu una maanisha Wanajitolea nini ?