Ukiwatumia hela hawa watu

Ukiwatumia hela hawa watu

images
 
Just men😇😇
Kuna mwanangu alikua na kipengele kizito kabisa ikabidi nikope sehemu nimtumie bila kumwambia nimeazima. Jibu lake sasa nilibaki nacheka tuu...

"We mshamba umetisha😂" Na ilikua ni 500k asee
 
Unatuma 3000 au 5000 ni za vocha au maana utatoa ngapi hapo, mi akitaka kutuma hizo hela Huwa namwambia aache tu
 
UKIMTUMIA MWANAMKE HELA
3,000 hawajibu
5,000 ok
10,000 nimeona
20,000 Tnx
50,000 Asante
100,000 asante ba mpenzi chibaba wangu🥰 jioni nakuja kukuona🤩

UKIMTUMIA MWANAUME HELA
3,000 kaka asante💪🏿
5,000 kaka umetisha🔥
10,000 unyama sana mwanangu🤝🏾
20,000 umetisha mwenyekiti📌🔨
50,000 Mungu akubariki kaka sina cha kukulipa
100,000 umebadilisha siku yangu kaka. Respect🙏🏿🙏🏿🙏🏿💥
ukimnunulia chipsi mwanamke atasema asant
lunch atasema tanks
kitimoto ahsante dear hubby
 
Back
Top Bottom