igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,595
- 3,352
Unajua watu wanaoviponda vyama vya upinzani mimi huwashangaa kwa sababu hakuna hata mmoja, hasa kutoka chama tawala, ambaye ameonyesha ubavu wa kuanzisha huo upinzani imara. Mimi watu kama akina Zitto, Mbowe na wengine nawakubali sana kwa uthubutu wa kutenda wakati wengine wamekalia kulia lia tuu oooh Tanzania hakuna upinzani wa kweli oooh wapinzani wana uchu wa madaraka but zaidi ya hizo lawama wao wamekunja mikono, pengine yuko kaunta na konyagi yake na simu yake wana comments kirahisi tuu.