Steve wa rhymes
Member
- May 21, 2015
- 11
- 2
ukiwa wewe ni hakimu hivi kunatofauti gani kati ya wauwaji hawa wawili mwingizaji gia kwa mkono{mpiga punyeto} na mtoaji mimba KAZI KWAKO HAKIMU
Mpiga punyeto hana kosa yale manii tu bado kiumbe hakijaumbwa. Mtoa mimba katili anaua kiumbe kamili chenye damu hukumu yake itakua kali.
Ndio huko ni kutimiza tamaa za mwiliKwani kupiga nyeto sio dhambi..?
Ww ni mgenu Mbona hujapita kwangu kujitambulishaNdio huko ni kutimiza tamaa za mwili
Dhambi ni uasi wa Sheria za Mungu.Kwani kupiga nyeto sio dhambi..?