Ukiwa tayari saini mkataba

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
Mimi ………………. Naapa kwamba, nitakuwa mwaminifu na mtiifu kwa Jamiiforums na nitaipenda na kuitumia kwa moyo wangu wote hadi pale kifo kitakaponitenganisha na Jamii forums, na hata huko ahera nikiikuta nitaendelea kuitumia.

Hivyo basi mimi ………………………………………, na mbele ya mashahidi wangu ………………. Na ………………… naapa kwamba katika muda wa kazi uliopangwa na ofisi/ shule/chuo nitaugawa nusu kwa nusu ili niweze ku-comment na ku-post thread, kupiga umbeya wote unaohitajika na mara nyingine nitapost pumba kwa kwenda mbele. Ee………. Nisaidie..

Imesainiwa mbele ya hakimu ………………………..
 
charmingirl, mkataba mgumu huo....bt am open to signing one with u!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom