Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,910
- 3,022
Nisaidie pia kuniulizia kwa hao Watu wako wa huko huko Tanga ni kwanini Wanawake wao wengi ( japo siyo wote ) wanapenda sana kupitia barabara za Vumbi na siyo zile za Lami? Wakishakujibu malizia Kuniulizia tena hao hao wana Tanga kuwa ni kwanini Wanaume zao wengi ( japo siyo wote ) wanapenda mno kwenda Kinyume na Maandiko ya Mwenyezi Mungu wawapo na Jinsia tofauti na Yao na hata wakiwa wao kwa wao? Nayasubiri Majibu yangu kutoka Kwako mwana Tanga na wana Tanga mliopo hapa. Nitashukuru.
Nashindwa nikushauri nini sijui kila mtu na bahati yake au vipiBaada ya kuingia Tanga nikapata na lodge maeneo ya Sahare. Nikamtafuta bodaboda anipeleke kwenye "Wajasirimali" akanipeleka City centre ilipokua La Cassa Chika club karibu na posta/soko daah mademu wazee na wabovu sana japo jamaa aliwasifia kishenzi. Baadae ananiambia ooh twende Pongwe (yapata 15kms eti Kuna mademu wa kisomali) Nilikataa kulipia boda kwa ujinga wake na kunipotezea muda.
WanakuongopeaHapo kwenye wanawake wanakupa chochote popote imenifanya nitaman kufika Tanga
Hata hapo Dar hayo mambo yapo.Hapo kwenye wanawake wanakupa chochote popote imenifanya nitaman kufika Tanga
Izi comments za ivi msiwe mnaweka kwenye uzi zetu pendwa mnatutilia Mchanga [emoji849]
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Mimi sijasema ujinga mkuu, au nimekosea kusema ukweli?Wewe watu tunaongele inshu sereaus wengine Wana leta ujinga
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
HahahahHata hapo Dar hayo mambo yapo.
Inamaana Kaka hujawahi kufika Buza kwa Mpalange ? Hayo mambo hata Musoma nimeyakuta. Hata wakurrya miraba minne wanakamata kuta za nyumba kwa ridhaa zao kwa ujira mdogo tu.
Msiwapakazie wa Tanga
Inategemea mkuu umekaa tanga sehemu gani, nenda tanga mjini maeneo ya chichi hadi nyumbani kwetu hotel, nenda tanga pazuri, bado hujaenda sokoni mgandini, mitaa ya mikanjuni, sahare, mabanda ya papa, makorora na barabara za namba. Tanga kila kitu, tena unaweza kudhani unaishuhudia sodoma na gomora mpya, hatari sana. Nakumbuka siku nilipotembelea forodhani saa mbili usiku, nilishangaa kukuta wanaume wamekaa kando ya barabara wanajiuza, nilitetemeka mwili mzima sikuamini nilichokionaKabla sijafika Tanga nilikuwa naamini sana story kama hizo, lakini nimeishi huko zaidi ya miaka miwili, hakuna vitu kama hivyo ni story za kusadikika tu.