Mpaka sasa ni muda gani umesimamishwa kazi? Je uchunguzi dhidi yako na hatua za kinidhamu zimechukuliwa? i.e kamati ya nidhamu imekuita kujibu mashitaka? Ukijibu haya nitaweza kukupa ushauri zaidi
Unaweza kbsa hakuna pingamizi na itakusaidia endapo next step baada ya suspension ni termination.. ukiwa na CV ya termination sio nzur kwa mwajiri mpya.