Ukiwa single unaenjoy sana!!!

Ukiwa single unaenjoy sana!!!

Mie Niko single ila kwa umri huu nateseka tu, Kuna muda na umri ukiwa single ni adhabu ,
Natafuta hata single mother wakimalizaa nae
 
Hauli hela yako na mtu,ni bata tu kwanza sai nashusha kuku wali na juisi.nimeanda msosi hapa najisevia tuh. Sitak demu sitaki mke najipenda tu mwenyewe.sitak stress at this age of 30.
Katika hali hiyo,,,ndio wanaanza kujitokeza...."tulishapitamo" na siku ukigonga tu,,,umenasa,,,,,kumbe nia ilikuwa ni kupoza tu mkwaju.TRUST ME!!
 
Hauli hela yako na mtu,ni bata tu kwanza sai nashusha kuku wali na juisi.nimeanda msosi hapa najisevia tuh. Sitak demu sitaki mke najipenda tu mwenyewe.sitak stress at this age of 30.

Safi
 
Back
Top Bottom