Ukiwa Rais leo unaanzia wapi?

CCM ni zaidi ya shetani
 
Kura yangu ungepata wallah
 
Uliponifurahisha ni hapo uliposema umeme ukikatika saa moja waziri wa nishati jela inakuhusu
 
Kwenye orodha ya dawa zako kama hakuna matumizi ya nguvu ya umma/kijeshi kuiondoa ccm jua safari umeifanya ndefu mno.
Hata wao wanajua hivyo.
 
Kwenye orodha ya dawa zako kama hakuna matumizi ya nguvu ya umma/kijeshi kuiondoa ccm jua safari umeifanya ndefu mno.
Hata wao wanajua hivyo.
Hayo yote mkuu tumeshasema huku nashukuru umekumbushia.
 
Sina makuu,Vyama vya siasa visiwepo zaidi ya vinne tu au viwili.
Katiba mpya
Tume huru ya uchaguzi itakayoshirikisha watu wasiomuonea haya mtu,mvivu mzembe na asiwe goigoi
Kila wilaya itakuwa na Citizen Happy Centre ambayo itakuwa na mawasiliano na serikali kuu moja kwa moja hii itashughulikia raia wanaohangaishwa na nenda rudi.(Kujua matatizo wanayohangaishwa nayo ikiwemo sababu na mengine ambayo raia anapatishwa tabu katika ofisi ndogondogo za serikali)
 
Fahamu kuwa MADAS na MARAS ndo makatibu wa wilaya na mkoa. Mkuu wa wilaya na mkoa n cheo siasa chenye lengo la kusimamia maslahi ya chama tawala
 
Vema
 
Jeshi la police litafuta , kazi zote za police zitafanywa na wanajeshi

Baadhi ya mapolisi watakuwa recruited ndani ya JW, baada ya mchujo mkali, na watapiga kozi upya ya jeshi...


Ukibahinika na ushahidi tosha, umekula rushwa, utanyongwa hadharani, hii kesi itaenda sambamba na mashoga.

Nitafuta Advance , hakuna form 5 Wala form 6.. Utaanza Elimu ya cheti na kuendelea..

Mishahara itaongezeka

Nyumba za kisenge kisenge, zote tutabomoa, tutajenga nyumba nzuri za standard na wananchi tutawapangishia Kwa bei nafuu kabisa, hata 30k Kwa mwezi

Oya nitafanya mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…