Kuivunja serikali yote na kuanza interview mmoja baada ya mwingine kama hiyo nafasi anaiweza, kila mwajiriwa wa serikali atalipwa basic salary ndogo na perfomance ndio itakuwa kidhibitisho cha kulipwa extra money, bila kusahau CCM nitaifutulia mbali na siku ya kuanzishwa ccm itakua sikukuu ya siku mbaya zaidi Tanzania kwa kuzaliwa zimwi lililoisababishia Tanzania Umaskini.Kila mtu ana ndoto. Kila mtu huamini ana suluhisho sahihi. Hata hivyo tukubariane hakuna mbinu moja katika kutafuta jawabu la changamoto za ustawi wa maisha. Ndo mana ubepari na ujamaa hakuna ajuaye fika ipi ni bora kufanya maisha yawe na maana.
Kutofautiana ndiko huleta matokeo chanya. Leo ukipewa nchi ya Tanzania utaanza na lipi? (Katika hili utani/mizaha haipokelewi). Bila kutamka ELIMU mana kila mtu ataanza nalo,
Mimi nitaanza;
1. Kufuta vyama vyote vya siasa wajisajiri upya na visizidi 4 na kuruhusu mgombea binafsi kuruhusu siasa zenye uwiano. Mali zote zilizoko mikonon mwa ccm na zilipatikana wakat wa mfumo wa chama kimoja kwa jasho la wote zinarudi serkalini.
2. Nitaondoa kero zote za muungano (kuweka win win union) hata zikigharimu kura ya kutengana mazima.
3. Nitaichambua upya mikataba mikubwa ya madini, gesi/mafuta, bandari na mbuga.
4. Nitaboresha sera ya mahusiano ya kimataifa kufanya biashara na taifa lolote.
5. Nitafuta makosa yote walio magereza isipokuwa walioua nawapa haki yao wote.
6. Nitajenga matajiri wazawa. Kila tenda kubwa na ndogo wazawa kwanza labda wakiri si level yao.
7. Nitafuta bidhaa zote zinazoweza kutengenezwa ndan kuwa imported. Uhitaji utazaa uwekezaji wa ndani.
8. Nitapunguza gharama za kuendesha serkali kwa 40%
9. Nitabadiri sheria kadhaa ikiwemo kutunga sheria ya kuua wahujum uchumi wakubwa.
Kila aliyefaidika na mifumo ya nyuma nitamruhusu aendeleze alichokwapua kuliko kutoroshea nje, hakuna makosa ya nyuma.
10. Nitaboresha mifumo ya kutawalana ianzie ngazi ya balozi na kuimarisha kamati ya maadili ya kila jamii husika. Kila mtu atajulikana ni nani, anafanya nini.
Pia nitaboresha mifumo na utendaji wa serkali (Serikali, Bunge na Mahakama) ikiwemo wabunge wawe na elimu kuanzia degree na uhuru wa mahakama. Mwisho kabisa, serkali itasimamia vyanzo vikubwa vya uzalishaji kupitia kampuni kwa ubia.
Lengo kuu ni ustawi wa watu ujidhihiri katika furaha ya kuishi (kama scandinavian states)
Dunia nzima itaungana kukuua walahiNitafuta makanisa yote ya upako na ukanjanja,, kubaki na Catholic na Kkkt pekee,,
Nitazichanganya Simba na Yanga ziwe timu 1,,
Office zote za umma na binafsi ajira ni kwa wanaume pekee,, wanawake wabaki kufanya kazi za nyumbani, kilimo, ufugaji na ujasiriamamli,, sababu wanawake maofisini neno customer care kwao ni msamiati,,
Nitauvunjilia mbali muungano,,
Nitapiga marufuku bodaboda,, zibaki bajaj na uba,,
Umeme ukikatika kwa saa1 waziri wa nishati Jela mwaka 1,,
Ikibainika kuna mtu amepoteza maisha kwa uzembe wa daktali au muuguzi waziri wa Afya jela miaka 5,,
Waziri wa elimu marufuku kusomesha watoto au watu wa familia yako au ukoo wako nje ya nchi ama private,, somesha shule za kata,, ili fimbo nawe ikuchape,,
Nitafuta vyama vyote vya siasa nasema vyote,,
Nitahakikisha kila familia inamiliki shamba la heka 2 kwa ajili ya kulima mazao ya chakula I mean kila familia lazima ilime,,
Ili hakimu asajiliwe lazima afungwe jela mwaka mmoja ili auone uchungu hasa watakao upitia watu anaowahukumu bila hatia,,
Ukibainika ufisadi, rushwa, ujambazi, ubakaji, kuua kwa wivu wa mapenzi, ushoga, usagaji, kutoa mimba adhabu ni kupigwa risasi hadharani na live on TV,,
Marufuku kubeti, pool, tatu mzuka, dubwi la mchina, na kamari zote,,
Wakuu wa mikoa na wilaya kuchaguliwa kwa kura za wananchi wa mikoa na wilaya husika,,
Nitahakikisha kila familia inamiliki nyumba na gari,,
yani nina mengi basi tu ngoja leo niishie hapa sababu najua haiwezekani kuwa rais,,
Nimecheka japo kuna mengi sikubaliani nayo aisee[emoji2][emoji38]Nitafuta makanisa yote ya upako na ukanjanja,, kubaki na Catholic na Kkkt pekee,,
Nitazichanganya Simba na Yanga ziwe timu 1,,
Office zote za umma na binafsi ajira ni kwa wanaume pekee,, wanawake wabaki kufanya kazi za nyumbani, kilimo, ufugaji na ujasiriamamli,, sababu wanawake maofisini neno customer care kwao ni msamiati,,
Nitauvunjilia mbali muungano,,
Nitapiga marufuku bodaboda,, zibaki bajaj na uba,,
Umeme ukikatika kwa saa1 waziri wa nishati Jela mwaka 1,,
Ikibainika kuna mtu amepoteza maisha kwa uzembe wa daktali au muuguzi waziri wa Afya jela miaka 5,,
Waziri wa elimu marufuku kusomesha watoto au watu wa familia yako au ukoo wako nje ya nchi ama private,, somesha shule za kata,, ili fimbo nawe ikuchape,,
Nitafuta vyama vyote vya siasa nasema vyote,,
Nitahakikisha kila familia inamiliki shamba la heka 2 kwa ajili ya kulima mazao ya chakula I mean kila familia lazima ilime,,
Ili hakimu asajiliwe lazima afungwe jela mwaka mmoja ili auone uchungu hasa watakao upitia watu anaowahukumu bila hatia,,
Ukibainika ufisadi, rushwa, ujambazi, ubakaji, kuua kwa wivu wa mapenzi, ushoga, usagaji, kutoa mimba adhabu ni kupigwa risasi hadharani na live on TV,,
Marufuku kubeti, pool, tatu mzuka, dubwi la mchina, na kamari zote,,
Wakuu wa mikoa na wilaya kuchaguliwa kwa kura za wananchi wa mikoa na wilaya husika,,
Nitahakikisha kila familia inamiliki nyumba na gari,,
yani nina mengi basi tu ngoja leo niishie hapa sababu najua haiwezekani kuwa rais,,
Hapo kwa mahakimu nimecheka sana....kwamba afungwe kwanza.!!Nitafuta makanisa yote ya upako na ukanjanja,, kubaki na Catholic na Kkkt pekee,,
Nitazichanganya Simba na Yanga ziwe timu 1,,
Office zote za umma na binafsi ajira ni kwa wanaume pekee,, wanawake wabaki kufanya kazi za nyumbani, kilimo, ufugaji na ujasiriamamli,, sababu wanawake maofisini neno customer care kwao ni msamiati,,
Nitauvunjilia mbali muungano,,
Nitapiga marufuku bodaboda,, zibaki bajaj na uba,,
Umeme ukikatika kwa saa1 waziri wa nishati Jela mwaka 1,,
Ikibainika kuna mtu amepoteza maisha kwa uzembe wa daktali au muuguzi waziri wa Afya jela miaka 5,,
Waziri wa elimu marufuku kusomesha watoto au watu wa familia yako au ukoo wako nje ya nchi ama private,, somesha shule za kata,, ili fimbo nawe ikuchape,,
Nitafuta vyama vyote vya siasa nasema vyote,,
Nitahakikisha kila familia inamiliki shamba la heka 2 kwa ajili ya kulima mazao ya chakula I mean kila familia lazima ilime,,
Ili hakimu asajiliwe lazima afungwe jela mwaka mmoja ili auone uchungu hasa watakao upitia watu anaowahukumu bila hatia,,
Ukibainika ufisadi, rushwa, ujambazi, ubakaji, kuua kwa wivu wa mapenzi, ushoga, usagaji, kutoa mimba adhabu ni kupigwa risasi hadharani na live on TV,,
Marufuku kubeti, pool, tatu mzuka, dubwi la mchina, na kamari zote,,
Wakuu wa mikoa na wilaya kuchaguliwa kwa kura za wananchi wa mikoa na wilaya husika,,
Nitahakikisha kila familia inamiliki nyumba na gari,,
yani nina mengi basi tu ngoja leo niishie hapa sababu najua haiwezekani kuwa rais,,
Ningeifumua kama sio kuifuta TISS!Kila mtu ana ndoto. Kila mtu huamini ana suluhisho sahihi. Hata hivyo tukubariane hakuna mbinu moja katika kutafuta jawabu la changamoto za ustawi wa maisha. Ndo mana ubepari na ujamaa hakuna ajuaye fika ipi ni bora kufanya maisha yawe na maana.
Kutofautiana ndiko huleta matokeo chanya. Leo ukipewa nchi ya Tanzania utaanza na lipi? (Katika hili utani/mizaha haipokelewi). Bila kutamka ELIMU mana kila mtu ataanza nalo,
Mimi nitaanza;
1. Kufuta vyama vyote vya siasa wajisajiri upya na visizidi 4 na kuruhusu mgombea binafsi kuruhusu siasa zenye uwiano. Mali zote zilizoko mikonon mwa ccm na zilipatikana wakat wa mfumo wa chama kimoja kwa jasho la wote zinarudi serkalini.
2. Nitaondoa kero zote za muungano (kuweka win win union) hata zikigharimu kura ya kutengana mazima.
3. Nitaichambua upya mikataba mikubwa ya madini, gesi/mafuta, bandari na mbuga.
4. Nitaboresha sera ya mahusiano ya kimataifa kufanya biashara na taifa lolote.
5. Nitafuta makosa yote walio magereza isipokuwa walioua nawapa haki yao wote.
6. Nitajenga matajiri wazawa. Kila tenda kubwa na ndogo wazawa kwanza labda wakiri si level yao.
7. Nitafuta bidhaa zote zinazoweza kutengenezwa ndan kuwa imported. Uhitaji utazaa uwekezaji wa ndani.
8. Nitapunguza gharama za kuendesha serkali kwa 40%
9. Nitabadiri sheria kadhaa ikiwemo kutunga sheria ya kuua wahujum uchumi wakubwa.
Kila aliyefaidika na mifumo ya nyuma nitamruhusu aendeleze alichokwapua kuliko kutoroshea nje, hakuna makosa ya nyuma.
10. Nitaboresha mifumo ya kutawalana ianzie ngazi ya balozi na kuimarisha kamati ya maadili ya kila jamii husika. Kila mtu atajulikana ni nani, anafanya nini.
Pia nitaboresha mifumo na utendaji wa serkali (Serikali, Bunge na Mahakama) ikiwemo wabunge wawe na elimu kuanzia degree na uhuru wa mahakama. Mwisho kabisa, serkali itasimamia vyanzo vikubwa vya uzalishaji kupitia kampuni kwa ubia.
Lengo kuu ni ustawi wa watu ujidhihiri katika furaha ya kuishi (kama scandinavian states)
Nitauza MITO na MABWAWA yote.....Kila mtu ana ndoto. Kila mtu huamini ana suluhisho sahihi. Hata hivyo tukubariane hakuna mbinu moja katika kutafuta jawabu la changamoto za ustawi wa maisha. Ndo mana ubepari na ujamaa hakuna ajuaye fika ipi ni bora kufanya maisha yawe na maana.
Kutofautiana ndiko huleta matokeo chanya. Leo ukipewa nchi ya Tanzania utaanza na lipi? (Katika hili utani/mizaha haipokelewi). Bila kutamka ELIMU mana kila mtu ataanza nalo,
Mimi nitaanza;
1. Kufuta vyama vyote vya siasa wajisajiri upya na visizidi 4 na kuruhusu mgombea binafsi kuruhusu siasa zenye uwiano. Mali zote zilizoko mikonon mwa ccm na zilipatikana wakat wa mfumo wa chama kimoja kwa jasho la wote zinarudi serkalini.
2. Nitaondoa kero zote za muungano (kuweka win win union) hata zikigharimu kura ya kutengana mazima.
3. Nitaichambua upya mikataba mikubwa ya madini, gesi/mafuta, bandari na mbuga.
4. Nitaboresha sera ya mahusiano ya kimataifa kufanya biashara na taifa lolote.
5. Nitafuta makosa yote walio magereza isipokuwa walioua nawapa haki yao wote.
6. Nitajenga matajiri wazawa. Kila tenda kubwa na ndogo wazawa kwanza labda wakiri si level yao.
7. Nitafuta bidhaa zote zinazoweza kutengenezwa ndan kuwa imported. Uhitaji utazaa uwekezaji wa ndani.
8. Nitapunguza gharama za kuendesha serkali kwa 40%
9. Nitabadiri sheria kadhaa ikiwemo kutunga sheria ya kuua wahujum uchumi wakubwa.
Kila aliyefaidika na mifumo ya nyuma nitamruhusu aendeleze alichokwapua kuliko kutoroshea nje, hakuna makosa ya nyuma.
10. Nitaboresha mifumo ya kutawalana ianzie ngazi ya balozi na kuimarisha kamati ya maadili ya kila jamii husika. Kila mtu atajulikana ni nani, anafanya nini.
Pia nitaboresha mifumo na utendaji wa serkali (Serikali, Bunge na Mahakama) ikiwemo wabunge wawe na elimu kuanzia degree na uhuru wa mahakama. Mwisho kabisa, serkali itasimamia vyanzo vikubwa vya uzalishaji kupitia kampuni kwa ubia.
Lengo kuu ni ustawi wa watu ujidhihiri katika furaha ya kuishi (kama scandinavian states)
Naanza na waliotaka kuuza Bandari kwa Mwarabu!Kila mtu ana ndoto. Kila mtu huamini ana suluhisho sahihi. Hata hivyo tukubariane hakuna mbinu moja katika kutafuta jawabu la changamoto za ustawi wa maisha. Ndo mana ubepari na ujamaa hakuna ajuaye fika ipi ni bora kufanya maisha yawe na maana.
Kutofautiana ndiko huleta matokeo chanya. Leo ukipewa nchi ya Tanzania utaanza na lipi? (Katika hili utani/mizaha haipokelewi). Bila kutamka ELIMU mana kila mtu ataanza nalo,
Mimi nitaanza;
1. Kufuta vyama vyote vya siasa wajisajiri upya na visizidi 4 na kuruhusu mgombea binafsi kuruhusu siasa zenye uwiano. Mali zote zilizoko mikonon mwa ccm na zilipatikana wakat wa mfumo wa chama kimoja kwa jasho la wote zinarudi serkalini.
2. Nitaondoa kero zote za muungano (kuweka win win union) hata zikigharimu kura ya kutengana mazima.
3. Nitaichambua upya mikataba mikubwa ya madini, gesi/mafuta, bandari na mbuga.
4. Nitaboresha sera ya mahusiano ya kimataifa kufanya biashara na taifa lolote.
5. Nitafuta makosa yote walio magereza isipokuwa walioua nawapa haki yao wote.
6. Nitajenga matajiri wazawa. Kila tenda kubwa na ndogo wazawa kwanza labda wakiri si level yao.
7. Nitafuta bidhaa zote zinazoweza kutengenezwa ndan kuwa imported. Uhitaji utazaa uwekezaji wa ndani.
8. Nitapunguza gharama za kuendesha serkali kwa 40%
9. Nitabadiri sheria kadhaa ikiwemo kutunga sheria ya kuua wahujum uchumi wakubwa.
Kila aliyefaidika na mifumo ya nyuma nitamruhusu aendeleze alichokwapua kuliko kutoroshea nje, hakuna makosa ya nyuma.
10. Nitaboresha mifumo ya kutawalana ianzie ngazi ya balozi na kuimarisha kamati ya maadili ya kila jamii husika. Kila mtu atajulikana ni nani, anafanya nini.
Pia nitaboresha mifumo na utendaji wa serkali (Serikali, Bunge na Mahakama) ikiwemo wabunge wawe na elimu kuanzia degree na uhuru wa mahakama. Mwisho kabisa, serkali itasimamia vyanzo vikubwa vya uzalishaji kupitia kampuni kwa ubia.
Lengo kuu ni ustawi wa watu ujidhihiri katika furaha ya kuishi (kama scandinavian states)
Ukomo wa idadi ya vyama vya siasa utasababisha kelele, mimi nitakomesha tabia ya unyumbu yaani kujitoa ufahamu ni tabia ya wale waliobeba dhamana kuahirisha kufikiri kwanafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kutumikia malengo ya kundi fulani hata kama hayana tija kwa taifaKila mtu ana ndoto. Kila mtu huamini ana suluhisho sahihi. Hata hivyo tukubariane hakuna mbinu moja katika kutafuta jawabu la changamoto za ustawi wa maisha. Ndo mana ubepari na ujamaa hakuna ajuaye fika ipi ni bora kufanya maisha yawe na maana.
Kutofautiana ndiko huleta matokeo chanya. Leo ukipewa nchi ya Tanzania utaanza na lipi? (Katika hili utani/mizaha haipokelewi). Bila kutamka ELIMU mana kila mtu ataanza nalo,
Mimi nitaanza;
1. Kufuta vyama vyote vya siasa wajisajiri upya na visizidi 4 na kuruhusu mgombea binafsi kuruhusu siasa zenye uwiano. Mali zote zilizoko mikonon mwa ccm na zilipatikana wakat wa mfumo wa chama kimoja kwa jasho la wote zinarudi serkalini.
2. Nitaondoa kero zote za muungano (kuweka win win union) hata zikigharimu kura ya kutengana mazima.
3. Nitaichambua upya mikataba mikubwa ya madini, gesi/mafuta, bandari na mbuga.
4. Nitaboresha sera ya mahusiano ya kimataifa kufanya biashara na taifa lolote.
5. Nitafuta makosa yote walio magereza isipokuwa walioua nawapa haki yao wote.
6. Nitajenga matajiri wazawa. Kila tenda kubwa na ndogo wazawa kwanza labda wakiri si level yao.
7. Nitafuta bidhaa zote zinazoweza kutengenezwa ndan kuwa imported. Uhitaji utazaa uwekezaji wa ndani.
8. Nitapunguza gharama za kuendesha serkali kwa 40%
9. Nitabadiri sheria kadhaa ikiwemo kutunga sheria ya kuua wahujum uchumi wakubwa.
Kila aliyefaidika na mifumo ya nyuma nitamruhusu aendeleze alichokwapua kuliko kutoroshea nje, hakuna makosa ya nyuma.
10. Nitaboresha mifumo ya kutawalana ianzie ngazi ya balozi na kuimarisha kamati ya maadili ya kila jamii husika. Kila mtu atajulikana ni nani, anafanya nini.
Pia nitaboresha mifumo na utendaji wa serkali (Serikali, Bunge na Mahakama) ikiwemo wabunge wawe na elimu kuanzia degree na uhuru wa mahakama. Mwisho kabisa, serkali itasimamia vyanzo vikubwa vya uzalishaji kupitia kampuni kwa ubia.
Lengo kuu ni ustawi wa watu ujidhihiri katika furaha ya kuishi (kama scandinavian states)
Mimi nitafanya kama wewe kasoro tu hapo number 9. Kila alieiba, sijui rushwa na ufisadi nitampa nafasi ya kurudisha abaki na vyake vya halali tu. Zoezi hili nitalipa muda wa kama miezi miwili.Kila mtu ana ndoto. Kila mtu huamini ana suluhisho sahihi. Hata hivyo tukubariane hakuna mbinu moja katika kutafuta jawabu la changamoto za ustawi wa maisha. Ndo mana ubepari na ujamaa hakuna ajuaye fika ipi ni bora kufanya maisha yawe na maana.
Kutofautiana ndiko huleta matokeo chanya. Leo ukipewa nchi ya Tanzania utaanza na lipi? (Katika hili utani/mizaha haipokelewi). Bila kutamka ELIMU mana kila mtu ataanza nalo,
Mimi nitaanza;
1. Kufuta vyama vyote vya siasa wajisajiri upya na visizidi 4 na kuruhusu mgombea binafsi kuruhusu siasa zenye uwiano. Mali zote zilizoko mikonon mwa ccm na zilipatikana wakat wa mfumo wa chama kimoja kwa jasho la wote zinarudi serkalini.
2. Nitaondoa kero zote za muungano (kuweka win win union) hata zikigharimu kura ya kutengana mazima.
3. Nitaichambua upya mikataba mikubwa ya madini, gesi/mafuta, bandari na mbuga.
4. Nitaboresha sera ya mahusiano ya kimataifa kufanya biashara na taifa lolote.
5. Nitafuta makosa yote walio magereza isipokuwa walioua nawapa haki yao wote.
6. Nitajenga matajiri wazawa. Kila tenda kubwa na ndogo wazawa kwanza labda wakiri si level yao.
7. Nitafuta bidhaa zote zinazoweza kutengenezwa ndan kuwa imported. Uhitaji utazaa uwekezaji wa ndani.
8. Nitapunguza gharama za kuendesha serkali kwa 40%
9. Nitabadiri sheria kadhaa ikiwemo kutunga sheria ya kuua wahujum uchumi wakubwa.
Kila aliyefaidika na mifumo ya nyuma nitamruhusu aendeleze alichokwapua kuliko kutoroshea nje, hakuna makosa ya nyuma.
10. Nitaboresha mifumo ya kutawalana ianzie ngazi ya balozi na kuimarisha kamati ya maadili ya kila jamii husika. Kila mtu atajulikana ni nani, anafanya nini.
Pia nitaboresha mifumo na utendaji wa serkali (Serikali, Bunge na Mahakama) ikiwemo wabunge wawe na elimu kuanzia degree na uhuru wa mahakama. Mwisho kabisa, serkali itasimamia vyanzo vikubwa vya uzalishaji kupitia kampuni kwa ubia.
Lengo kuu ni ustawi wa watu ujidhihiri katika furaha ya kuishi (kama scandinavian states)
Si ni kweli nakubalika jamani?1. Nitafungua kiwanda cha ugoro jijini Arusha, ugoro upo mtaani lakini cha ajabu haijulikani unatengenezwa wapi material zake ni nini na zikoje,
2. Nitafungua kiwanda cha Gongo kila mkoa wenye baridi kali kuhakikisha walevi wanapasha mwili joto kwa kitu chenye TBS:
Hv ww unadhani CCM ni chama ambacho watu wanakitaka,mm nakwambia hata ukikifuta leo hakuna wa kusikitika amin usiamini huo ndio ukweli mateso yote ya watanzania ni kwa sababu CCM ilishaacha kusikia,Hv unadhani kutembea na KIZIWI NI KAZI NDOGO hadi akuelewe unataka nn ni KAZI kubwa ndio ilivyo CCM,imezeeka mpaka haisikii tena.Lkn dawa yake inaendelea kuchemka ktk jiko.Kufuta chama kimoja ni kuzalisha tatizo kubwa zaid. Bora ufute vyote. Kila watu waamue kusajiri upya.
Hii ni kwa sabab kwa sasa hatuna mfumo wa vyama vya siasa bali tuna ccm na vyama vya siasa. Vyama hivi kiuwezo na ushindani ni kama watoto wa ccm watukutu na wadadisi.
Ndio maana ukiwa nje ya ccm unaonekana muasi na mtukutu na si mbadala. Ni kama museven na muhoozi.
Naona kama utaturudisha kulekule.Kila mtu ana ndoto. Kila mtu huamini ana suluhisho sahihi. Hata hivyo tukubariane hakuna mbinu moja katika kutafuta jawabu la changamoto za ustawi wa maisha. Ndo mana ubepari na ujamaa hakuna ajuaye fika ipi ni bora kufanya maisha yawe na maana.