hahaha always done
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,397
- 2,367
Duh!Nitafuta kifuta chama Cha kijani kisionekane Tena Duniani na chawa wake wote ntawachoma sindano za sumu
Nitapunguza idadi ya wabunge bungeni had kufikia wabunge 100..tu nakigezo Ili uwe mbuge at least uwe na masters..
Nitabadili mitaala ya elimu Ili kuendana na Dunia inataka nini
Nitabadili katiba na kupunguza madaraka ya rais
Nitaondoa ma DaS na wakurugenzi kweny kila wilaya nitaacha wakuu wa wilaya..
Nitafanya mapinduzi ya kijani kweny kilimo...Ili Tanzania iweze kuirisha Africa mzima
Namba 9 Point aya ya kwanza tuko pamoja.Kila mtu ana ndoto. Kila mtu huamini ana suluhisho sahihi. Hata hivyo tukubariane hakuna mbinu moja katika kutafuta jawabu la changamoto za ustawi wa maisha. Ndo mana ubepari na ujamaa hakuna ajuaye fika ipi ni bora kufanya maisha yawe na maana.
Kutofautiana ndiko huleta matokeo chanya. Leo ukipewa nchi ya Tanzania utaanza na lipi? (Katika hili utani/mizaha haipokelewi). Bila kutamka ELIMU mana kila mtu ataanza nalo,
Mimi nitaanza;
1. Kufuta vyama vyote vya siasa wajisajiri upya na visizidi 4 na kuruhusu mgombea binafsi kuruhusu siasa zenye uwiano. Mali zote zilizoko mikonon mwa ccm na zilipatikana wakat wa mfumo wa chama kimoja kwa jasho la wote zinarudi serkalini.
2. Nitaondoa kero zote za muungano (kuweka win win union) hata zikigharimu kura ya kutengana mazima.
3. Nitaichambua upya mikataba mikubwa ya madini, gesi/mafuta, bandari na mbuga.
4. Nitaboresha sera ya mahusiano ya kimataifa kufanya biashara na taifa lolote.
5. Nitafuta makosa yote walio magereza isipokuwa walioua nawapa haki yao wote.
6. Nitajenga matajiri wazawa. Kila tenda kubwa na ndogo wazawa kwanza labda wakiri si level yao.
7. Nitafuta bidhaa zote zinazoweza kutengenezwa ndan kuwa imported. Uhitaji utazaa uwekezaji wa ndani.
8. Nitapunguza gharama za kuendesha serkali kwa 40%
9. Nitabadiri sheria kadhaa ikiwemo kutunga sheria ya kuua wahujum uchumi wakubwa.
Kila aliyefaidika na mifumo ya nyuma nitamruhusu aendeleze alichokwapua kuliko kutoroshea nje, hakuna makosa ya nyuma.
10. Nitaboresha mifumo ya kutawalana ianzie ngazi ya balozi na kuimarisha kamati ya maadili ya kila jamii husika. Kila mtu atajulikana ni nani, anafanya nini.
Pia nitaboresha mifumo na utendaji wa serkali (Serikali, Bunge na Mahakama) ikiwemo wabunge wawe na elimu kuanzia degree na uhuru wa mahakama. Mwisho kabisa, serkali itasimamia vyanzo vikubwa vya uzalishaji kupitia kampuni kwa ubia.
Lengo kuu ni ustawi wa watu ujidhihiri katika furaha ya kuishi (kama scandinavian states)
Wanigeria watoe hapo zile mtu ni balaa zitoKwanza baada ya kuchambua wasaidizi wangu
Nafuta vyama vyote vya siasa na matumbo yao hata Chama mama
Nitaamua nini kifanyike hapo
2 Muungano ni kupiga kura kama Scotland wengi wape
3 Viboko marufuku na adhabu zote bali kuwa na ukaribu na wazazi kama mtoto hawezi kusoma ajifunze anachopenda zaidi hata kushona vikapu
Wazazi wawe na majukumu zaidi nyumbani kulea watoto wao
Wizi na Rushwa mwaka wa pili tu lazima upungue 40%
JKT kwa wanafunzi nafuta kabisa kwani haina msaada wowote ule toto bado linakuwa jizi tu hata baada ya adhabu zote hizo
Viwanja vyote vya shule, mahakama, polisi na hata vya sokoni walivyojigawia vingozi au kuwauzia matajiri vyote vitarudi
Diaspora nawapa dual citizenship siku ya Tatu tu
Nchi za Africa zote nawaruhusu waingie bila Visa
Marufuku kuwasumbua waafrika wanaoingia nchini ni lazima wapewe hadhi na heshima hata kama wameingia kinyemela waangaliwe vizuri sio kuwadhulumu mali zao
Ngoja niwe Rais mtalimia meno [emoji1] [emoji1787]
Kwa hiyo tuwakubali waafrika wote kasoro hao
Mambo yote urais umepata kura yangu. Lakin la kufunga mafisadi litazalisha visasi na heka heka nyingi. Kumbuka wale ni watanzania walioamua kujimegea kikubwa. Sasa wakikaa na utajiri na kuinufaisha Tanzania kupitia uwekezaj wao sion shida maana ni kama nchi inazaliwa upya (Renaissance). Kila mtu anaanzia alipo twende mbele.1.Kuruhusu mchakato wa katiba mpya.
2.kupunguza madaraka ya Rais.
3.Kufuta wabunge wa viti maalum.
4.Kufuta ma dc na ma das.
5.kutunga sheria ya kuwapiga risasi wala rushwa na wahujumu uchumi.
6.Kufuta wapinzani uchwara wote kama Zitto, Mbowe, le profesa,Mbatia nk.Anaetaka siasa awe msemakweli kama Tundu A Lissu.
7.Kupiga marufuku watu wanaitwa chawa wa aina yoyote.
8.Mtumishi wa uma asiefata kiapo chake kazini imekula kwake hakuna mwananchi kunyanyaswa kwenye taasisi za uma.
9.Spika na jaji mkuu wakijipendekeza kwangu mimi Rais imekula kwao.
10.Mbunge anaetetea serikali badala ya wapigakura wake imekula kwake.
11.Kurudisha mali zote serikalini zilizopatikana kwenye mfumo wa chama kimoja.
Tuishie kwanza hapo upuuzi ni mwingi sana nchi hii.
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Sitafukua makaburi mimi nitaanza na awamu yangu atakaejaribu kuchezea mali ya wa Tanzania AK 40 7 inamuhusu.Mambo yote urais umepata kura yangu. Lakin la kufunga mafisadi litazalisha visasi na heka heka nyingi. Kumbuka wale ni watanzania walioamua kujimegea kikubwa. Sasa wakikaa na utajiri na kuinufaisha Tanzania kupitia uwekezaj wao sion shida maana ni kama nchi inazaliwa upya (Renaissance). Kila mtu anaanzia alipo twende mbele.
Lengo si kutiana umaskin wala kulipizana na kukomoana wala kuwajibishana kwa yaliyopita mana ni ubovu wa mfumo. Hadi hapo wakigoma kurudisha mitaji ndani.
kabla ya mambo menine yoote, nitaanza na DP WORLD, LOLIONDO NA NGORONGORO. wangebaki mdomo wazi.Kila mtu ana ndoto. Kila mtu huamini ana suluhisho sahihi. Hata hivyo tukubariane hakuna mbinu moja katika kutafuta jawabu la changamoto za ustawi wa maisha. Ndo mana ubepari na ujamaa hakuna ajuaye fika ipi ni bora kufanya maisha yawe na maana.
Kutofautiana ndiko huleta matokeo chanya. Leo ukipewa nchi ya Tanzania utaanza na lipi? (Katika hili utani/mizaha haipokelewi). Bila kutamka ELIMU mana kila mtu ataanza nalo,
Mimi nitaanza;
1. Kufuta vyama vyote vya siasa wajisajiri upya na visizidi 4 na kuruhusu mgombea binafsi kuruhusu siasa zenye uwiano. Mali zote zilizoko mikonon mwa ccm na zilipatikana wakat wa mfumo wa chama kimoja kwa jasho la wote zinarudi serkalini.
2. Nitaondoa kero zote za muungano (kuweka win win union) hata zikigharimu kura ya kutengana mazima.
3. Nitaichambua upya mikataba mikubwa ya madini, gesi/mafuta, bandari na mbuga.
4. Nitaboresha sera ya mahusiano ya kimataifa kufanya biashara na taifa lolote.
5. Nitafuta makosa yote walio magereza isipokuwa walioua nawapa haki yao wote.
6. Nitajenga matajiri wazawa. Kila tenda kubwa na ndogo wazawa kwanza labda wakiri si level yao.
7. Nitafuta bidhaa zote zinazoweza kutengenezwa ndan kuwa imported. Uhitaji utazaa uwekezaji wa ndani.
8. Nitapunguza gharama za kuendesha serkali kwa 40%
9. Nitabadiri sheria kadhaa ikiwemo kutunga sheria ya kuua wahujum uchumi wakubwa.
Kila aliyefaidika na mifumo ya nyuma nitamruhusu aendeleze alichokwapua kuliko kutoroshea nje, hakuna makosa ya nyuma.
10. Nitaboresha mifumo ya kutawalana ianzie ngazi ya balozi na kuimarisha kamati ya maadili ya kila jamii husika. Kila mtu atajulikana ni nani, anafanya nini.
Pia nitaboresha mifumo na utendaji wa serkali (Serikali, Bunge na Mahakama) ikiwemo wabunge wawe na elimu kuanzia degree na uhuru wa mahakama. Mwisho kabisa, serkali itasimamia vyanzo vikubwa vya uzalishaji kupitia kampuni kwa ubia.
Lengo kuu ni ustawi wa watu ujidhihiri katika furaha ya kuishi (kama scandinavian states)
😅 Sawa mheshimiwa ila uhakikishe hauendi kinyume na katiba 😊🔥1.Nitaanza kushughulikia ripoti za CAG na kushtaki wote waliotajwa bila huruma.
2. Nitaichukua katiba ya Warioba na kuitisha referendum juu yake.
3. Nitabadili mfumo mzima wa na kitengeneza taasisi imara.
4. Nitavunja mkataba wa gas ya mtwara.
5. Marais walioliletea taifa hasara watawekwa kizuizini na kufilisiwa.
6.watoto wa viongozi wote ambao ni viongozi watashtakiwa kwa kuhujumu taifa na kusapoti nepotism.
7. Nitahakikisha Sheria mpya ya kuzuia chama cha siasa kuingilia au kushauri serikali kwa namna yoyote ile.
8. Vyombo vya ulinzi na usalama vitafanya kazi kama ambavyo sheria zinavyotaka.
9. Nitahakikisha bajeti kubwa kwenda sekta ya elimu na tafiti.
10. Nitazuia tenda za ujenzi kupelekwa makampuni ya nje na kuyapa uwezo ya ndani, unless otherwise kwenye issue nzito.
Ajaye.