Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,671
- 18,627
Nisifanye shughuli zangu za kiuchumi na kiafya niwe nawaza ujinga wa kuchapiwa au kutochapiwa utafikiri nalinda password ya bank card yangu kwenye wallet mfukoni.
Acha kampain za kishamba brother, maana magufuli maji yapo kinywani na hata kuongea hawezi ila anafanya ziara ya mara ya mwisho kuitembelea tanzania
Kwa hiyo nikusaidieje wewe mwerevu?Acha kampain za kishamba brother, maana magufuli maji yapo kinywani na hata kuongea hawezi ila anafanya ziara ya mara ya mwisho kuitembelea tanzania
La! La! La! La!
Hakika kuna pisi moja ilikuwa na character hii.
[emoji16][emoji16] kaaz kwelikweli, bado kuna mtu anataka kumuelewa mtu anaitwa mwanaume
Kesho utakuja na uzi wa wanawake wa loshika dini sana waogope.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Chagua Magufuli mkuu..hizo kero atazishughulikia kwa ukaribu sana.
Acha kampain za kishamba brother, maana magufuli maji yapo kinywani na hata kuongea hawezi ila anafanya ziara ya mara ya mwisho kuitembelea tanzania
Sana tuNyie mnaeleweka?
Kwa hiyo nikusaidieje wewe mwerevu?
Huwajui wanawake, rudi darasani
Kabisa,ajipe moyoMalipo hapahapa dunian[emoji28]