Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
- Thread starter
- #41
Sana tu
Wewe ndo mwanamke wa 1 una declare
Sana tu
Usimegewe wewe umekua nani? Mtemi Deo Nalimi kamegewa na dunia bado inazunguka utakua wewe bwana?
Unamtaka yupi?Ausioo nipe wako nim mege[emoji28]
Hawa ni wavulana tu waliokula ugali na maharage wakashiba halafu wanakuja mbiombio kuanzisha mada za kitopolo kuhusu wanawake wakidai wametafiti.[emoji16][emoji16] kaaz kwelikweli, bado kuna mtu anataka kumuelewa mtu anaitwa mwanaume
Yaani hii ni kweli kabisa, nilikuwa na demu flani wa dizaini hii, nilikuka kishtuka alikuwa na washikaji kama wanne hiviNdugu zangu wanaume leo nataka niwamegee siri kidogo juu ya hawa dada zetu kma ulikua hujui sasa ndo uache uzezeta.
Ukiwa na mwnamke ambae anakusikiliza sana yani hakubishii mtii, ukimwita any time anakuja upige game hakatai.
Mwanamke ambae hakuombi pesa mpka ujiongeze maybe,
Mwanamke anaekupa simu yake au haweki password ogopa sana.
Aisee jua kabisa wanawake wa dizaini hiyo ni wachepukaji wazuri sana, wanajua sana kucheza na akil za mwanaume, utakuwa unachapiwa ukiambiwa huamin yan unamwamini kupitiliza acha uzwazwa kama unamwamke wa dizain hii fanya research.
Ukikua naamini matatizo yako ya ndani hutaleta humu jf ila kwa sasa endelea na kula ujana... waiter nilete konyagi kubwa plz
Daaah hii mitazamo wakati mwingine inatufanya tusijiamini,mabandiko ya wanawake hivi mara wanawake vile mtatufanya tuache kuoa
Hivi kumbe kuna baadhi ya wanaume hawajui wanataka nini kwenye mahusiano eelView attachment 1606570
Pesa kidogo tu kila mwanamke unamuona malaya
Yaani hii ni kweli kabisa, nilikuwa na demu flani wa dizaini hii, nilikuka kishtuka alikuwa na washikaji kama wanne hivi