Ukiwa na mwanamke wa dizaini hii jua unachapiwa

Ukiwa na mwanamke wa dizaini hii jua unachapiwa

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,512
Ndugu zangu wanaume leo nataka niwamegee siri kidogo juu ya hawa dada zetu kma ulikua hujui sasa ndo uache uzezeta.

Ukiwa na mwnamke ambae anakusikiliza sana yani hakubishii mtii, ukimwita any time anakuja upige game hakatai.

Mwanamke ambae hakuombi pesa mpka ujiongeze maybe,

Mwanamke anaekupa simu yake au haweki password ogopa sana.

Aisee jua kabisa wanawake wa dizaini hiyo ni wachepukaji wazuri sana, wanajua sana kucheza na akil za mwanaume, utakuwa unachapiwa ukiambiwa huamin yan unamwamini kupitiliza acha uzwazwa kama unamwamke wa dizain hii fanya research.
 
Back
Top Bottom