Ukiwa na hasira unafanyaje?

Nasema 'wuuuusaaaaaaa' halafu nahesabu 1,2,3,4,5,6,7,8,9,10......na kuendelea
 
Why ulale na maumivu?

Siwezi ruhusu mchuchu alale akiliaaa...i hve to be a man hapo

Hapana, sio kwamba nalala naa maumivu. Navyolia ndo naondoa yale maumivu, so nikimaliza kulia maumivu au hasira zinaisha pia. Baada ya hapo nalala, nikiamka nakuwa freshiii kabisa.
Pia nina tabia ya kujiliza alone ili watu wasinione including aliyeniudhi, wataniona dhaifu wee. Ingawa sometimes hata kama hasira zimenijia barabarani basi ntaanza kilio hapo hapo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hivi why wanawake wengi mpo hiv ni kuwa na soft moyo au? Coz almost wote husema same thng wao ni kulia na kulia tu

Kuna mmoja alinambia yeye inadepend either anaweza lia room au akajifungia ndani washa music na kupiga kelel sanaaa
 
Sie kweli tuna soft mioyo, hatupendi kukaa na mzigo mzito moyoni, so kulia kunashusha mzigo wote. Hata tukiwa na tatizo huwa tunajitahidi kulishea na tunaowaamini, inatusaidia pia kupunguza stress. Tofauti na wanaume ambao wanaweza wakawa na tatizo kubwa na asiseme kwa mtu, mwisho presha tii

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wanaume tuko strong
 
Wanaume tuko strong

Ndiyo mpo strong na ndio maana wengi mnapata hata presha coz hamtaki kuelezea yanayowasibu mnabaki na stress tu coz mnahis mtaonekana weak.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ndiyo mpo strong na ndio maana wengi mnapata hata presha coz hamtaki kuelezea yanayowasibu mnabaki na stress tu coz mnahis mtaonekana weak.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kwani presha inasababishwa na hasiraa?
 
Kwani presha inasababishwa na hasiraa?

.Unapokuwa na hasira mara kwa mara (especially kwa wale ambao wanakasirika afu anakukalia tu kimya, analiweka moyoni) au hata una tatizo linakusumbua hasaa na unalificha, possibility ya kupata presha ni kubwa kadri unavyozidi kukaa na kitu moyoni coz unakuwa na kama shinikizo la mawazo ambalo linaweza kusababisha kupandisha shinikizo la damu... Me sio daktari, so nimejitahidi tu kuelezea kwa uelewa wangu mdogo mweee

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hivi kati ya wanawake na wanaume wakin nan wanakuw na presha sana?
 
Nikikasirika sitaki kusikia sauti yoyote ile nahisi kama inaniudhi. Halafu nakumbuka wote ninaowadai na walionidhurumu changu hasira ndo zinazidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…