Nkobe
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 2,204
- 3,277
Habari wadau, napenda nitoe tafakuri hii nikiwa na fikra huru. Mimi ni Mkristo lakini kwenye swala la Ugaidi ukiwa na fikra huru utajua kuwa kuna ugaidi mwingine ni wa kusakiziwa na mataifa ya Magharibi.
Kwa ujumla, watu wengi duniani wamekuwa wakiaminishwa kuwa magaidi ni watu wabaya, magaidi hayo yamekuwa yakishambulia nchi za Ulaya, lakini baada ya mashambulizi hayo utakuta watu wengi duniani wanalaumu hao waliofanya mashambulizi kwa nguvu zote kuwa ni Magaidi na Walaaniwe. Hata mimi nimewahi kuwa katika mkumbo huo, lakini sasa nimeshitukia mchezo. Halafu kibaya zaidi nchi za magharibi wanaifanya vita hiyo ya ugaidi iwe ya dunia nzima, mfano nchi nyingi za Africa zimeshawishiwa kutunga sheria za ugaidi na kujikuta wanacheza ngoma isiyo yao, ya mabwana wakubwa wa nchi za Magharibi
Kimsingi haya makundi yanayoitwa Magaidi, mengine si Magaidi bali ni makundi yanayolipiza kisasi. Ebu jifikirie, hivi ikitokea Nchi za Ulaya na Marekani wakaivamia Tanzania, wakasababisha mauwaji makubwa ikiwepo ndugu zako na watoto wako, wakaharibu mali zako ambazo ulikuwa umechuma wewe na familia yako, yaani mipango yako yote ya Maisha ikaharibiwa na vita, nini utafanya?, nina uhakika wengi tutakuwa tayari kufa kwa kujitoa Muhanga kwa sababu uoni cha kupoteza baada ya kuona ndugu zako wameuawa.
Ebu tujiulize, Umewahi kuona China, India, Brazil, Korea wanavamiwa na Ugaidi?, kwanini Ugaidi uwe tatizo la baadhi za nchi za Ulaya kama Ufaransa, Uingereza, Ujerumani tu?, kwanini iwe tatizo kwa Marekani?, kwanini Ugaidi usiwe tatizo kwa Norway, Sweden, Croatia nk?. Ukweli ni kwamba baadhi ya nchi nilizotaja wamekuwa wauwaji wakubwa duniani. Sina takwimu kamili, lakini naamini watu waliouawa na mataifa ya magharibi ni wengi kuliko waliouawa na Makundi ya yanayoitwa ya Kigaidi.
Tatizo moja hapa ninaloliona kwa haya makundi yanayovamia nchi za ulaya ni kwamba uhusisha imani za kidini, kiasi kwamba hata kama wewe si mtu wa dini yao bila kujali unatokea wapi, watakuua tu. Wanakuwa kama kokolo bila kujali, mimi naamini kama Makundi ya Al queda, ISIS yangetangaza kuwa sisi hatuna shida na watu wa dini zingine bali mataifa ya Magharibi, mimi naamini hata Wakristo wangewaunga mkono, tatizo lao wamehama kuwa magaidi badala ya ku deal na mataifa ya Magharibi. Lakini makundi kama boko haram,Al shaabab, hayo ni magaidi pure wala hayana utu, maana yanapigania ujinga. Hivyo Mtanzania ukiona watu wanajitoa muhanga huko USA, Uingereza, achana nao wamalizane kwa sababu wao ndio waliochokozana. Mimi nimetoa tafakuri hii nikiwa na fikra huru, lakini ukiwa na mawazo yaliyofungwa utakuwa umelishwa agenda za wazungu bila wewe kujua.