Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,704
CPA ya wapi???
Labda unisaidie, kuna CPA ya wapi na wapi na nini tofauti zao?
Za nchi mballi mbali ndio maana za TZ wanaweka T mwisho
Kwa Tanzania unasoma chuo chochote
CPA unasoma Masters degree inayohusiana na Finance. Hata UDSM wanakupa admissionWadau!
Napenda kujua kama ukiwa na CPA au Certification yoyote kama CCNA, CCNP au CISA unaweza kunaweza kuqualify kujiunga na masters kwa case hauna degree ya kwanza?
umenielewa nataka kusoma nini?
nimewaelewa, asanteni sana. One more question, SINA MSINGI WOWOTE WA ACCOUNTS JE NAWEZA KUPATA CPA NDANI YA MWAKA HUU AU MWAKANI KATIKATI ili niweze kuapply master? hivi sasa nafanya kazi hivyo muda nilio nao ni jioni na weekend tu .

Wadau!
Napenda kujua kama ukiwa na CPA au Certification yoyote kama CCNA, CCNP au CISA unaweza kunaweza kuqualify kujiunga na masters kwa case hauna degree ya kwanza?
ATEC I na ATEC II upige ndani ya mwaka then Foundation Stage yenye course 5 upige ndani ya six month, Intermediate Stage yenye course sita upige ndani ya six month na Final Stage yenye course 4 zilizoshiba upige six month! Wewe utakuwa si wa kawaida!!!! Inabidi ukapige PHD tu sasa!Kama uko serious and bright, maximum years 2.5 unakuwa CPA. Hapo umeanzia chini kabisa Atec 1