Ukiwa mwana-ccm katika siasa za vyuo ni tatizo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukiwa mwana-ccm katika siasa za vyuo ni tatizo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by tindikalikali, Jun 15, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa Daruso, silaha kubwa ya kumalizana imekuwa ni kuhusisha wagombea fulani na U-CCM. Inaonekana wazi kwamba katika siasa za vyuo hasa UDSM ni usaliti na kukosa uzalendo.
   
 2. k

  kichapo2015 Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  majina yote ya wagombea wa urais daruso ni wanachadema.tuilaumu chadema kwakuleta siasa vyuoni
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Kwani kuwa CDM/CCM ni dhambi? Ebu fikiri upya kabla ya kutoa hizo lawama.
   
 4. Makoye Matale

  Makoye Matale JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 6,480
  Likes Received: 450
  Trophy Points: 180
  Ni vyema wanafunzi wakazingatia masomo yao ili wajiandae kuwa wanasiasa wazuri hapo baadaye, waisaidie nchi hii. Endapo wataendekeza siasa vyuoni wataishia kufukuzwa na kushindwa kutimiza ndoto zao za kupata elimu ambayo ingesaidia taifa hapo baadaye. Waswahili wasema: 'mtumikie kafiri upate mradi wako'.
   
 5. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Red:Ilaumu wewe kama wewe na sio kuwasemea watu wengine ambao awana mawazo mgando kama yako.
   
 6. C

  Chipoku Member

  #6
  Jun 17, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  WAKULAUMIWA KTK HILI NI WOTE CDM & CCM , KWA KUPELEKA SIASA VYUONI ! BACK TO WANAFUNZI " WAACHE KUWA MAKUWADI KWA WANAUME WENZAO ie WATU WA VYAMA HIVYO ILI WATIMIZE MALENGO YAO " MWISHO WA SIKU WANAPOTEZA CHANCE KWA KUFUNGIWA VYUO LIKE UDOM , WAKATI WENZAO WAMETULIA MJENGONI WAKILA POSHO+ MISHAHARA MINONO+ A LOT OF BENEFITS , WAO WAKISUBIRIWA VIJIJINI KWA WAZAZI WAO AMBAO WENGI NI WAVUJA JASHO WALIOUZA KUKU ILI KUWAPELEKA NINYI ! HII NI KWA WENYE VICHWA "VILIVYO NA UBONGU TUUUUUUUU SIO VYENYE TOPE CHAFU"
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Siasa chuo kikuu ilikuwepo toka enzi za chama kimoja, acheni majungu bana na migomo vyuoni haijaanza leo ilikuwepo
  Na kwa taarifa zenu wanasiasa woote maarufu wa nchi hii wametoka hukokwenye migomo!
  Hii ndo siasa ya bongo kama wewe haupo hivyo ujue siasa kwako ipo mbali sana!
   
 8. K

  Kasanga Member

  #8
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  HIVI HAMKUMBUKI udom WALIMCHANGIA ****** MAPESA YA KUCHUKULIA FOMU YA KUGOMBEA URAISI KWA TIKETI YA CCM NA HAOHAO BAADAYE KULIA KUWA PESA YA POSHO YA CHAKULA HAITOSHI! NI AJABU NA KWELI! sIASA VYUONI HAZIEPUKIKI MAANA WALIOKO VYUONI NI WATU WAZIMA NA WANA UPEO WA KUCHAMBUA PUMBA NA MCHELE! MAMBO YA KUSEMA 'VIJANA NI TAIFA LA KESHO' HII ILIKUWA NI KUWALINDA WAZEE WASIPENDA KUNG'ATUKA! IMAGINE KILE KIZEE CHA KIMATUMBI KILICHOJIFANYA KIKOMUNISTI NA KUKATAA DINI MPAKA LEO BADO KIMO KWENYE CHAMA CHA WENYE MAGAMBA!
   
Loading...