msema.kweli
Member
- Sep 3, 2015
- 26
- 64
Alikuwepo jana
View attachment 288457
Hili ni gazeti la serikali, linaandika uongo mchana kweupe ili iweje???
Magufuli bado hajaenda Chato sasa kaiteka lini?? Mbona mnajitaidi kuwa waongo kiasi hiki nyie waandishi??
Hivi hamuoni kwamba credibility yenu inashuka sana? Tafadhali mkitaka kuwa waongo msiwe wasaulifu.
Msiwe wavivu angalieni tarehe ya hilo gazeti!!