MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,727
- 37,028
Sina matatizo na watu makini ambao wapo kwenye siasa hapa nchini, lakini, unapojihusisha na siasa, hakika umakini wako uta hojiwa.
Siasa za Tanzania ni kama zimelaaniwa, waliopo ndani ya siasa hawaamini wanachokisema na kile wanachokiamini hawakisemi
Uchawa umetamalaki, hofu za kupoteza mkate ni kubwa kuliko hofu ya kukosa mbingu, wasomi wamekua majuha na majuha wamekua wasomi
ili kuleta sanity, tunahitaji elimu nyingi ya uraia, watu wafundishwe elimu ya uraia kutoka shule ya checkechea mpaka PhD
Hakuna anajua kutofautisha maslahi ya nchi na ya serikalli, askari wanatetea wahalifu, wahalifu wanawaumiza wazalendo
Machawa wanaheshimika, wazalendo wanahadhirika, mimi nimesema siasa ya Tanzania kwangu ni ugonjwa ambao mganga wake hajazaliwa
Atakaye elewa na eelewe.